Recent content by Land cruiser Prado

  1. Land cruiser Prado

    Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Someone who is willing to twist words in favour of someone who pays him/her. They live by praising people who pays them..
  2. Land cruiser Prado

    Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    This is what i have been waiting for years. Can we also share books and magazines here.?
  3. Land cruiser Prado

    Liquid Asset (FD, Bonds, UTT) v/s Fixed Asset (Nyumba ya Kupangisha)

    Tatizo hio nyumba ya 20M unaijenga aje..? Gharama za ujenzi zipo juu sana. Ili upate atleast 2.4M kwa mwaka investment ya jengo isipungue 50M
  4. Land cruiser Prado

    Najivunia ushamba na ulimbukeni huu ulinipitia mbali

    Asante sana mtoa mada, hauko peke yako. Huo ni ushamba mkubwa. Hawajui tu jinsi ambavyo watu wanavyoweza kukufanyia surveillance kwa kupitia mapost yako mwenyewe.
  5. Land cruiser Prado

    Kiukweli umeniangusha mwenyekiti wangu (Mbowe)

    Ulafi wa madaraka wa wazi kabisa.
  6. Land cruiser Prado

    Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Ili wachaga wawape kazi watoto wao kiurahisi. Mm nliwahi ku apply kazi TRA licha ya kua nlikua na sifa zote lkn sikuwahi hata kuitwa kwenye usahili.
  7. Land cruiser Prado

    Matatizo ya Mkongo wa Taifa ni funzo kubwa la kiusalama!

    Hapo ndo tunaanza kumkumbuka Elon Musk na Starlink..
  8. Land cruiser Prado

    Natafuta rafiki na mchumba Kisha mke

    Hebu nitafute mpnz
  9. Land cruiser Prado

    Mention someone without any reason just to disturb them

    Tanquuu my dearest fainenshoooo,[emoji23]
  10. Land cruiser Prado

    Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

    Au ww ndo ulimnyang'anya tonge mdomoni.
  11. Land cruiser Prado

    Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

    Dada mbona majaribu yanataka kukutoa kwenye reli. Kama hakua wako huwezi kulazimisha madam. Au hata angekuoa yamkini msingedumu. Shukuru Mungu kwa kukuepusha, songa mbele, behave wanaume wapo tu utaolewa ukimpata anaekufaa
  12. Land cruiser Prado

    Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

    Duh..! Jifunze kusamehe ndugu madam
  13. Land cruiser Prado

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hilo nalo ni ttzo..! Si uhame.? Watu tunatamani kuacha nyumba tulizojenga kwa gharama nikapange maana kila siku maradhi hayaishi. Kuna mtumishi aliniambia kuna watu walifukia vitu hapa..
  14. Land cruiser Prado

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Same here, asee inauma mnoo.. nimejuta kusoma huu uzi .
Back
Top Bottom