Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

Kwanini kwa wanawake wengi top three ni maokoto

Wewe ndio utaisikia redio tanzania bora mie naona chereko chereko nikusanue tu nimeolewa happy married na nitaolewa tena natena nakusanya maokoto hadi nifie boma fulani miaka fulani iwe mwisho. Wa this lady juzi walitaka kuniua hawajui hii damu ni ya kiganga sio rahisi kuliwa
He da Mau damu ya kiganga Tena?mbona tunatishana jamani?nimelipa sana
 
Hapa ni maokoto tu mbwa nyie maana hamna shukrani wala fadhila kwa wanaowasaidia . Na mwaka ndio wangu nitawatawanya kama fimbo ya musa
Mkuu,

Una changamoto zozote za afya ya akili?, au mahusiano yamekuathiri kwa namna moja ama nyingine?.

Kwanini kuwaita binadamu wenzako mbwa, wake zao mbwa, na watoto waliowazaa pia vivyo hivyo?. Nashauri pata matibabu ya saikolojia for your own good. Hii hali waweza ichukulia kama nafasi ya kutoa hasira zako, lakini mbeleni ikawa na matokeo hasi sana katika maisha yako na ndoa/mahusiano kwa karibu.

Tusiutweze utu wa watu sababu tu mahusiano yetu hayakufika pale tulitaka yafike.

Natumai umepata kitu.
Siwezi saivi nitajitahidi niwe mkiniona tu pesa mtoe wenyewe shenzi type eti maokoto ulitaka ule bure unaioshaga ka sabuni au kazi yako nikuitumia tu nakuchapa lapa
 
Nimeshanukuu
 
Dada mbona majaribu yanataka kukutoa kwenye reli. Kama hakua wako huwezi kulazimisha madam. Au hata angekuoa yamkini msingedumu. Shukuru Mungu kwa kukuepusha, songa mbele, behave wanaume wapo tu utaolewa ukimpata anaekufaa
Saivi akili kichwani
 
Always Women love dogs and children unconditionally
If you aint dog you aint child Unconditional love utaiskia tu kwa mwanamke tunapendwa kwa sababu kadhaa inaweza kua pesa power nafasi au umaarufu na vinginevyo
Anapendwa bodaboda kisa anafcha siri
 
Dogs?? wanawake wa nchi Gani unawaongelea?Waning'ate nipate kichaa ujinga nataka mie🙄🙄🙄
 
Dogs?? wanawake wa nchi Gani unawaongelea?Waning'ate nipate kichaa ujinga nataka mie🙄🙄🙄
Qoute imetoka kwa wazungu hio ndio maana nikaiandika kwa lugha yao
Kwa wanawake wa kiafrika toa Dogs weka kwa sababu ya marejesho au kikoba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hamjasema!!
Si nyie mlisema sie sio ndugu zenu!! Sasa tunawamisije!!
Eti eeh[emoji848]?
 
Ni kumfukuza arudi kwao

Hivi unaanzaje kumhudumia mwanamke ambaye bado anatumia surname ya baba yake!!

Hilo ni jukumu la baba yake
 
Siwezi saivi nitajitahidi niwe mkiniona tu pesa mtoe wenyewe shenzi type eti maokoto ulitaka ule bure unaioshaga ka sabuni au kazi yako nikuitumia tu nakuchapa lapa
Mkuu punguza makasiriko. Kila utakalofanya halitabadiri ukweli kuwa wajuba waliipiga na wakaitema wakaoa zingine. Sana sana utaendelea kujiharibia maisha yako tu ukidhani unawakomoa, wakati wenzio wana enjoy life. Ukiamua kuwa bless wana wabless tu mkuu.
 
Back
Top Bottom