Santo sana. Soon tunakula PasakaNipo Kwarezma sweetheart...
Love you more roho yamieeššLove you sweetheart ššš
Nimeokoka nampenda Yesušššš maneno yako yanaanza kunichekesha ujue!! Eti manini??
š¤£š¤£š¤£š¤£ Anna mbavu zinauma banaNimeokoka nampenda Yesu
Ila miharamia yote inajimwayamwaya tu
Imebaki wewe na Dogo Depo
Pole ššššš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Nimeshajua kumbe sijui kabisaa
Anna mbavu zinauma bana
Nimeokoka nampenda Yesu
Ila miharamia yote inajimwayamwaya tu
Imebaki wewe na Dogo Depo


Anna anazingua kinoma šššNyie watu![]()
Acha tyuuu!! Jana nimepigwa ban uzi wa uturingishie yani full tafrani

kote hamtakiwi active anataka nini lakini anataka mshinde mmu au
Kachokoza nini mods?
ššš itabidi niokoke kilazima nikashinde jukwaa la dinikote hamtakiwi active anataka nini lakini anataka mshinde mmu au
Dogo Depo ni Boko HaramMnanifurahisha sanaaahivi Depal kapigwa ban humu pia kweli dogo ebu uje
Wakaungane na magaidi wenzao Gazza hukokote hamtakiwi active anataka nini lakini anataka mshinde mmu au
Tanquuu my dearest fainenshoooo,Lafu yuh more Prado Cruiser![]()

Senkyuu more PradoTanquuu my dearest fainenshoooo,![]()
Missing you jamani