Recent content by Lamalanga

  1. Lamalanga

    Wazazi kugombana mbele ya watoto

    Hii ni mbaya sana. Huaribu saikolojia ya mtoto na hata kumpelekea kujenga chuki na dharau kwa wazazi wake. Heshima inapungua..
  2. Lamalanga

    Are spies made or born?

    Nimepata uelewa mkubwa sana hapa.Akili yangu inazidi kufunguka. Kumbe haya mambo ndo yapo hivi!!???
  3. Lamalanga

    Hivi hii tabia ya kuishi maisha ya kuiga huwa ina faida gani?

    Habari wana JF! Huwa najiuliza sana hili swali.Jamani nimekuwa nikikereka sana na tabia ya baadhi ya watu kupenda kuishi maisha ya kuiga. Kuishi maisha ya watu wengine. Hivi ni kwanini mtu anakuwa hapendi kuishi maisha yake halisi? Kwanini Mtu anaishi maisha tofauti na uwezo wa kipato chake...
  4. Lamalanga

    Ushauri: Wakati sahihi na wakati mbaya wa kuchukua mkopo wa biashara Benki

    Asante sana ndugu,nimejifunza kitu kikubwa sana hapa.Nimeona makosa yapo wapi na wapi napaswa kurekebisha.Nimeongeza ufahamu...
  5. Lamalanga

    Kiumbe gani kinachokutisha maishani na usingependa kukutana nacho milele?

    Naogopa sana caterpillars, wadudu hawa nikiwaona naweza hata kubadilisha njia.
  6. Lamalanga

    Urembo wa kwenye macho

    Teh! Teh! Huu urembo balaa ila nimwpenda ila kwa mtu mwenye ngozi nyeusi hii itampendeza kweli? Au ni special kwa ngozi nyeupe tu?
  7. Lamalanga

    Wenyeji mpo?

    Karibu kwenye uwanja wa ukweli na uwazi
  8. Lamalanga

    Tanzia: Msiba wa kihistoria ulioitikisa Lindi mjini, 7 wafariki

    Poleni sana kwa kufiwa. Mungu awe pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
  9. Lamalanga

    Kilio cha wanawake

    Kuwa makini ipo siku utalia wewe....
  10. Lamalanga

    Graduates: Kuna cha kujifunza hapa, nilianza na laki 3 sasa nina mtaji wa laki 8 ndani ya miezi 10

    Hongera mkuu! Uvumilivu hulipa.....jitahidi kuongeza juhudi ufikie malengo yako.
  11. Lamalanga

    Urembo! Urembo! Urembo!

    Queen Elizabeth kwa bei nafuu pamoja na lotion nyingine nyingi,mascara, rangi za kucha,perfumes,deodorants na spray za aina mbalimbali,shower gels,sabuni za kuogea n.k. Karibuni, tuwasiliane.
Back
Top Bottom