Recent content by Laizer Ole Naibio

  1. L

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Wamepanda yameota! sasa wanapalilia. Yakikomaa na kuzaa sijui watakimbilia wapi! Yetu macho.
  2. L

    Ten Male Personalities in Politics, Government and Institutions for the year

    Tupe vigezo vyako mkuu. Huwezi tu kubanmdika bila kutupa vigezo vinginevyo useme according to you. Kama ni umaarufu mbona wapo wengi tu hukuwaandika hapo?
  3. L

    John Heche akiri CHADEMA imeandaa mkakati wa kumpeleka Dr. Slaa ikulu 2015... Shame!!!

    Nadhani ni makosa kuanza kumsemea mtu kuwa ndiye atagombea kwa tiketi ya chama wakati muda mwingi bado. Sana sana mnamexpose kwa attack zaidi kutoka kwa mahasimu. Ni afadhali CHADEMA ikakataa dhana ya mitandao kama iliyopo ndani ya CCM na kuweka msimamo wazi kuwa hakuna mgombea hadi sasa wakati...
  4. L

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    Hapo ni hatari denja. Tumwombe Mungu atuepushe na udini.
  5. L

    Lema: Nilikuwa Honey Moon sasa narejea Kazini

    Mkono wa Mungu upo juu ya CDM hivyo viongozi wote lazima wawe kitu kimoja na kuwa na maono ya kuwaongoza watanzania kupata maisha bora. Waache kabisa ndoto za urais wajenge chama kwanza ili kiwe taasisi imara na kuhakikisha kinakuwa chama mbadala. Upinzani wenye nguvu ni muhimu kwa maendeleo ya...
  6. L

    Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    Kuomba radhi ni jambo jema. Wakijitambua na kuomba msamaha kwa viongozi na wanachama wasamehewe tu waanze upya.
  7. L

    Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

    Aroo hakikisheni mna kibali cha kuandamana la sivyo mtapata mkong'oto halafu shherehe ikawa huzuni.
  8. L

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Inaelekea Nape unaogopa sana maandamano kwa nini? Na vipi kujivua gamba kumeishia wapi? Achaneni na CHADEMA vueni hao magamba waliobaki muone kama CCM haitakuwa juu zaidi. Mkiendelea kuogopa inakula kwenu.
  9. L

    Mtwara kupandisha bendera yetu

    Hao wananchi hawajui hata gesi inafananaje na wala hawajui utaratibu wake ulivyo. Wanadanganywa tu na wanasiasa. Waambie gesi sio kama maji ya bomba ni lazima isafirishwe ipelekwe kwenye mitambo. Sana sana wanatakiwa wadai manufaa yatokanayo na hiyo gesi yaani mapato. Watoe mapendekezo yao...
  10. L

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Nyie wote mnaolumbana hamfai. Viongozi inabidi mchukuwe hatua kali dhidi yao mbona mnalivuruga lichama lenu halafu msingizie ni CCM? AMA mbona ni aibu saana.
  11. L

    Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuu wa ushindi wa CCM 2015 sio CHADEMA

    Mimi pia nakubaliana na hoja kuwa watu 2 ndio wa kuiua au kuiponesha CCM. Yaani Lowasa na Kikwete basi.
  12. L

    Wale twiga na wanyama wengine waliopanda ndege kuelekea Qatar sio hawa kweli?

    Mbona mimi sijawaona? Au hujaweka humu? Piga picha utuwekee bana tuone kama kweli ni wa kwetu.
  13. L

    WATUMISHI WA UMMA TUSIBABAISHWE, KINANA na NAPE na wenzao CCM hawana mamlaka kutukoromea sisi

    Kweli kabisa. Ataaibika soon we mwache. Anaweza kuanza kujenga chuki kwa watumishi wa umma kutoka kwa wananchi
  14. L

    Tutaajiri Makatibu CHADEMA nchi nzima-Dr Slaa

    Kwani lazima watutangazie sisi mikakati yao? Si wafanye kimya kimya? CCM wakiwadaka itakuwaje?
  15. L

    Mtonyaji serikalini; Usalama wa Taifa wampa JK mtihani mzito kuhusu CHADEMA kuelekea 2015

    Kwanini CCM iwe na hofu hivyo? Mimi ningewashauri tu kuwa wanahakikisha wanamchagua mgombea mchapa kazi asiye fisadi na kuhakikisha anauzika. Mtu kama Magufuli mbona atachaguliwa tu na kushinda? Waendelee kuchapa kazi na kutekeleza ahadi zao na kuacha kuwaonea wapinzani waache demokrasia...
Back
Top Bottom