Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Makinda rudisha hoja ya Lema "Pinda kaliongopea Bunge" watanzania tumechoshwa na viongozi vihiyo
Mbunge wa Arusha Mjini
Mh.Godbless Lema amesema Honey Moon yake imeisha rasmi leo na sasa
anarudi kutekeleza majukumu yake ya kibunge baada ya miezi kadhaa ya
kujenga Chama kwa njia ya Operesheni M4C
Lema arudishiwa Ubunge
na Mahakama ya Rufaa - YouTube
This is serious..kama watu wanafikia hatua ya kutoa machozi basi siyo kitu kidogo...namwomba sana ZITTO NA PM7 kwa ujumla waachane kabisa na rafu zao dhidi ya CDM ..WATU WANAYO MATARAJIO MAKUBWA SANA NA HIKI CHAMA NA WALAHI HATA KAMA ZITTO NA KUNDI LAKE WATAFANIKIWA KUKISAMBARATISHA HIKI CHAMA WAELEWE MUNGU ATAWAADHIBU NA HAWATAFAIDI KAMA WAO WANAVYOFIKIRIA..MACHOZI YA WATU NLIOWAONA HAPO HAYAWEZI KWENDA BURE.ZITTO NA WENZAKO KAMA NYIE NDO MNAFIKRI MMEKIJENGA CHAMA NA MNASITAHILI MNACHOKITAFUTA YOU ARE WRONG...KUNA WATU WAMECHINJWA, WAKITETEA CHAMA HIKI, KUNA WALIOJERUHIWA, KUNA WALIO PATA ULEMAVU, KUNA WATU WAMECHOMWA MIKUKI, WAMEPIGWA MISHALE, WAMEKATWA MAPANGA,HAKIKA DAMU YA WATU HAWA HAIWEZI KUPOTEA BURE, ITALIA JUU YENU NA HAMTABAKI SALAMA HAKI YA MUNGU
chadema sasa ushindi huu uwe kama chachu ya kumaliza chokochoko za akina shonza, saa nane machange na wengine! Oneni Watanzania walivopokea ushindi huu kwa hisia kubwa oneni Watanzania wanavotuunga mkono, Tafadhalini msiendekeze malumbano mkazima hii nyota inayong'aa hivi viongozi kutaneni kwenye vikao rasmi malizeni matatizo ndani ya chama twendeni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja! Binafsi naumia sana na migogoro hii isiyo ya lazima ndani ya chama! Mungu ibariki chadema mungu ibariki Tanganyika!
This is serious..kama watu wanafikia hatua ya kutoa machozi basi siyo kitu kidogo...namwomba sana ZITTO NA PM7 kwa ujumla waachane kabisa na rafu zao dhidi ya CDM ..WATU WANAYO MATARAJIO MAKUBWA SANA NA HIKI CHAMA NA WALAHI HATA KAMA ZITTO NA KUNDI LAKE WATAFANIKIWA KUKISAMBARATISHA HIKI CHAMA WAELEWE MUNGU ATAWAADHIBU NA HAWATAFAIDI KAMA WAO WANAVYOFIKIRIA..MACHOZI YA WATU NLIOWAONA HAPO HAYAWEZI KWENDA BURE.ZITTO NA WENZAKO KAMA NYIE NDO MNAFIKRI MMEKIJENGA CHAMA NA MNASITAHILI MNACHOKITAFUTA YOU ARE WRONG...KUNA WATU WAMECHINJWA, WAKITETEA CHAMA HIKI, KUNA WALIOJERUHIWA, KUNA WALIO PATA ULEMAVU, KUNA WATU WAMECHOMWA MIKUKI, WAMEPIGWA MISHALE, WAMEKATWA MAPANGA,HAKIKA DAMU YA WATU HAWA HAIWEZI KUPOTEA BURE, ITALIA JUU YENU NA HAMTABAKI SALAMA HAKI YA MUNGU
mkuu haiwezekani kujiunga na wasaliti wa chama!wasaliti wanyooshwe halafu tusonge mbele!chadema sasa ushindi huu uwe kama chachu ya kumaliza chokochoko za akina shonza, saa nane machange na wengine! Oneni Watanzania walivopokea ushindi huu kwa hisia kubwa oneni Watanzania wanavotuunga mkono, Tafadhalini msiendekeze malumbano mkazima hii nyota inayong'aa hivi viongozi kutaneni kwenye vikao rasmi malizeni matatizo ndani ya chama twendeni kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja! Binafsi naumia sana na migogoro hii isiyo ya lazima ndani ya chama! Mungu ibariki chadema mungu ibariki Tanganyika!
Fire all trators in the party clean it up now before 2015!Haki ya MUNGU, Maneno mazito sana haya. Napata uchungu sana ninaposikia kuna mtu analeta mchezo wa kujifanya yeye ndiyo aliyoipa umaarufu CHADEMA, hasa huyu kijana wa kigoma, sijui ni kiipi hasa anajivunia???? Hakika damu yetu ambayo inamatumaini makubwa juu ya CHADEMA NA UONGOZI WAKO WOTE, itakuwa juu yake kama chama hiki kitasambaratika kwa sababu za kijinga kama hizi ambazo wanazileta. God will judge them WRONG! Na Mungu atawachomea hapa hapa DUNIANI, HAKIKA NASEMA.
Unasema sikwenda shule halafu unashindwa kujibu swali dogo sana la mtu ambae sikwenda shule: Lema amesema alikuwa honeymoon, kwani ametoka kuoa?bado hujachelewa kwenda shule. Zoom na Datastar watakusaidia
hapana simjui, hebu mtaje, anaposema alikuwa honeymoon kwani ametoka kuoa? Mbona swali linakuwa gumu?Hujamjua aliemuoa!??
honeymoon? alioa?
:target:MKUU KIFUNGU KIMEAFIKIWA!