Mume karudi nyumbani akiwa njwii, maji yamemfika mpaka shingoni. Mke akamwuliza, Mume wangu mbona umelewa hivi, twende nionyeshe ulikuwa unakunywa wapi. Mume akampeleka kwenye baa ya mama muuza gongo. Mama muuza gongo akasema kweli mume wake alikuwa hapo akipata kilaji. Mke kwa hasira akamwambia...