Mmarekani, Mhaya na Mjapani

Laiser

Member
May 19, 2011
15
6
Mmarekani, Mhaya na Mjapani walikutana ndani Sauna kwenye Hotel ya Hilton Manhattam Jijini New York. Wote wakiwa uchi wakifurahia unyunyuunyunyu wa kwenye Sauna. Ghafla Mmarekana akafanya kama anapangusa mdomo akasikika akisema "hallo Honey....." Wakamuuliza inakuwaje, akasema anawasiliana na mkewe aliyeko London kwa njia ya simu ambayo simu kadi yake imeweka ndani ya kiganja chake cha mkono. Wakaendelea kula kimvuke cha sauna mara ghafla Mjapani naye akanyoosha mkono kama anajifanyia manicure akaonekana anasoma kitu kama picha na mafaili kwenye kucha zake, wakamuuliza vipi, akajibu akasema anadownload file la mkutano lililotumwa na Boss wake toka Tokyo kutoka kwenye iPad2 yake iliyochimbiwa chini ya kucha yake. Mhaya akasema hapa sasa mimi nionyeshe advertsement gani? Akaondoka kwa hasira akaenda WC aliporudi akawa ameecha Toilet Papers inaninginia matakoni mwake. Wenzake wakamuuliza vipi, akawajibu akasema "Napokea Fax toka kwa Professa Rutahindirwa wa Havard School of Law"
 
are this haya people like this? ooops good for them,ive crack 2 of my ribs laughing too loud :target:
 
Nimecheka sana. Imekaa ki utani zaidi. Ila jamani wahaya sijui walifanya nini jaman,yan kila utani unaenda kwa wahaya. Anyway,umenifurahisha sana siku ya leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom