Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,706
- 6,941
Upinzani sio uadui mkuu wala kupinga kila kitu!
Sasa kuna vyama tanganyika viongozi wake wanadhani kuwa mpinzani maana yake we uwe against na kila linalofanywa
na serikali hilo ndio tatizo la hao CDM, tofauti n vyama vingine ambavyo katika baadhi ya masuala yenye manufaa na
taifa wanakubaliana na serikali au wanatoa maoni yenye kuboresha CDM yenyewe imejengeka katika mfumo wa kupinga
tu.
Sasa katika hali hiyo usitegemee atokee mbunge wa kuteuliwa toka kwa hawa watu.
mkuu hebu toa mfano wa jambo ambalo cdm wamewapinga ccm hali lina maslah kwa taifa,