Mmarekani; mjapani na mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmarekani; mjapani na mtanzania

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Laiser, May 21, 2011.

 1. L

  Laiser Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmarekani, Mjapani na Mtanzania walikutana chuo Kikuu cha Harvard wakaanza kutambiana kuhusu uchaguzi katika nchi zao. Mmarekani akajigamba kwa kusema sisi wamarekani tukishapiga kura, kura zinahesabiwa hapohapo na mashine na tunapata matokeo hapo hapo. Mjapani akajigamba akasema sisi kwetu huna haja ya kusubiri matokeo kwani unaenda nyumbani na tume ya uchaguzi inayatuma matokeo moja kwa moja katika computer yako. Mtanzania akasema mimi nisemeje sasa, Akawaambia yaani nyie mnachukua muda mrefu hivyo, yaani sisi hata kabla ya uchaguzi tunajua mshindi ni nani.
   
 2. DAUDI GEMBE

  DAUDI GEMBE Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ya tz ni kaliiiiiiiiiiiiiiii
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahaa!
  Sisi tupo juu kwenda chini!
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ha,ha,ha,ha,haaa... Kweliii tencholojia ya tz ndo ipo juu kuliko zote ha,ha,ha,haaa
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe teheeh!!!
   
Loading...