Recent content by laigwenan

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

    Mimi sijaelewa ile milioni 50 kila kijiji alimaanisha nini
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    Kwa mujibu wa pgo cheo cha insp.kushuka chini ndio humpigia salute rc na dc zaidi ya hapo ni kujipendekeza tu. Isipokuwa waziri ambaye hupigiwa mpaka na ssp cheo cha kuanzia ukurugenzi msaidizi(ACP) hawapigagi salute hovyo hovyo kama wafanyavyo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Wewe uliesoma, sheria ya ushahidi inakutaka uthibitishe hicho unacho kisema kabla ya mboye kukanusha
  4. L

    JamiiForums Tanzania Milioni 50 kila kijiji, laptop kila mwalimu na elimu ya bure kipimo cha kwanza kwa Magufuli

    Kabla ya kuandika chochote ngoja nikausikilize ule wimbo wa prof.jay ndiyo mzee alafu ntarudi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Labda Mimi siwaelewi TFDA

    Udhibiti wa chakula na dawa hapa ndo mahali pake,usalama wa walaji upo mikononi mwao na viwanda vingi vidogo vimefungiwa kwa sababu ndogondogo za kiusalama kwa mlaji kama viwanda vya alizeti shinyanga na kwingineko viwanda vingi inchini vimelazimisha kuweka Maelezo kwa mlaji katika bidhaa nyingi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Kisima kisima kisima hebu rudi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nchi 10 tajiri bara la Afrika, Nigeria waongoza

    Zamu yako 2015
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sijui kama nitapiga Kura

    kumbuka ni zamu yako 2015
  9. L

    JamiiForums Tanzania NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

    kitu eatv bwana hawa jamaa ni wabunifu sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kujiandikisha ni 'tisa', 'kumi' yaja!

    Je! umesubiri muda mrefu kwenye foleni kusubiri kujiandikisha. Je ulilazimika kuamka mapema alfajiri au kulala kituoni ili ujiandikishe. Je mashine za BVR,zinaharibika kila mara ukiwa kwenye foleni,je muda wa wiki maja haukutosha kujiandikisha kwenye kata yako, Je ulitoa rushwa kujiandikisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

    TOYOTA IST unashinda gari
  12. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    kesho mh. lowasa atakuwa MAFINGA (w) MUFINDI kusaka wathamini katika safari yake hii ya matumaini, leo watu wanajiandikisha kwa malipo ya tsh. 50000,kwa aliye na kadi ya ccm ili kuhudhuria mkutano wake utakao fanyika uwanja wa wambi siku ya kesho, boda boda 100 zinaandaliwa kwa tsh 70000 kila...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi walioenguliwa CHADEMA Geita watimkia CCM

    nape,wassira,sitta,mwakyembe na wengine wengi
  14. L

    JamiiForums Tanzania OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

    Anaitwa ssp mwanyasi ni ocd wilaya ya mufindi anastaafu mwakani kwenye mwezi wa pili anatafuta kupandishwa cheo ili pensheni iongezeke kidogo,lakini walimwachia baada ya mahojiano kwani sheria inasema jua likitoweka ndio usiku na sio saa kumi na mbili
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    aniache mimi tembo wamemshinda huko anataka kuongoza watu cheeee!
Back
Top Bottom