L Lutubija Senior Member Joined Dec 27, 2014 Posts 125 Reaction score 10 Jun 7, 2015 #21 muleta maada tumia hakili sio kukulupuka tu hizi ndio adhari za kuchaguo viongozi wauza majeneza
Ngurubhe JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 1,840 Reaction score 1,049 Jun 7, 2015 #22 Kwanza hujaeleweka unasema nin, Hata ile kuwa unataka kusema Nin bado pia hueleweki kabisa
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,988 Reaction score 5,653 Jun 7, 2015 #23 Nipo Geita hakuna mpambanaji yeyote wa cdm aliyehamia ccm, hizi habari ni za kutungwa ili kutupotezea malengo kwa ajili ya kulikomboa jimbo la geita! Gebo, Mutta, Focus, n.k wamenihakikishia hilo!
Nipo Geita hakuna mpambanaji yeyote wa cdm aliyehamia ccm, hizi habari ni za kutungwa ili kutupotezea malengo kwa ajili ya kulikomboa jimbo la geita! Gebo, Mutta, Focus, n.k wamenihakikishia hilo!
L laigwenan JF-Expert Member Joined Apr 13, 2012 Posts 325 Reaction score 80 Jun 7, 2015 #24 Twilumba said: Taja mjumbe mmoja wa NEC atakaye thubutu kupinga jina la Don King Lowassa! Click to expand... nape,wassira,sitta,mwakyembe na wengine wengi
Twilumba said: Taja mjumbe mmoja wa NEC atakaye thubutu kupinga jina la Don King Lowassa! Click to expand... nape,wassira,sitta,mwakyembe na wengine wengi
sexologist JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 2,276 Reaction score 976 Jun 7, 2015 #25 Lutubija said: muleta maada tumia hakili sio kukulupuka tu hizi ndio adhari za kuchaguo viongozi wauza majeneza Click to expand... eeeeh mulugo kwanini umetufanya hivi?? Basi soma na wewe hapo juu.
Lutubija said: muleta maada tumia hakili sio kukulupuka tu hizi ndio adhari za kuchaguo viongozi wauza majeneza Click to expand... eeeeh mulugo kwanini umetufanya hivi?? Basi soma na wewe hapo juu.
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,988 Reaction score 5,653 Jun 7, 2015 #26 by NCHAGWA JOSEPH Hawa vijana na waende kwao ccm.walipojiunga cdm wamevuruga wanachama sana.wakimdharau ndg ROJAZ bili kujali mchango wake NCHAGWA JOSEPH Wee nawe ni boya kweli kweli badala kujenga taasisi imara ya chama wewe unajenga Jina la mtu binafsi! Hakuna alihamia ccm! kundi lenu mpo busy kujenga jina la rojaz badala ya kujenga chama ujinga mtupu! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
by NCHAGWA JOSEPH Hawa vijana na waende kwao ccm.walipojiunga cdm wamevuruga wanachama sana.wakimdharau ndg ROJAZ bili kujali mchango wake NCHAGWA JOSEPH Wee nawe ni boya kweli kweli badala kujenga taasisi imara ya chama wewe unajenga Jina la mtu binafsi! Hakuna alihamia ccm! kundi lenu mpo busy kujenga jina la rojaz badala ya kujenga chama ujinga mtupu!
mwenye shamba JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,028 Reaction score 1,892 Jun 7, 2015 #27 hivi anaaandikia makalio?binafsi sijamuelewa kabisa