TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Endelea kuota ndoto za mchana.
Mchungangaji aongoze nchi jamani ni sawa da sijui sisiem kama itavuka ila ukawa wajipange hatuangalii sura tunasikiliza sela....
Lowassa vigezo vinamtupa
Kigezo
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Jaji Agustino Ramadhani
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Edward Ngoyayi Lowassa
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Umri
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Miaka 66
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] 62
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Elimu
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Elimu ya juu ngazi ya shahada
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Uzoefu wa kazi
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa mahakama
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa serikali na bunge
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Uadirifu
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Kazi alizofanya
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Jaji, mwanajeshi, mchungaji
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu.
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Historia kazini
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Kugombea urais
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Ameombwa agombee tena ameombwa sana
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono
[/TD]
[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Afya
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Afya yake ni imala sana
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Afya ni mgogoro mala nyingi huendaUgermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimukiki kwa mda mrefu
[/TD]
wewe na nani???Lowasa ni mkombozi wetu wa Tanzania
kesho mh. lowasa atakuwa MAFINGA (w) MUFINDI kusaka wathamini katika safari yake hii ya matumaini, leo watu wanajiandikisha kwa malipo ya tsh. 50000,kwa aliye na kadi ya ccm ili kuhudhuria mkutano wake utakao fanyika uwanja wa wambi siku ya kesho, boda boda 100 zinaandaliwa kwa tsh 70000 kila moja kunagesha msafara sharti ni kuwa na kadi ya ccm sisi waandishi tunalamba tsh. 50000 sasa najiuliza hizi fedha zinatolewa kwetu
Mkuu sikiliza kwanza nafsi yako inavyokutuma ndio uandike....short of that itabaki ikikuhukumu kwa unayoeneza kwa watanzania wenzako
kesho mh. lowasa atakuwa MAFINGA (w) MUFINDI kusaka wathamini katika safari yake hii ya matumaini, leo watu wanajiandikisha kwa malipo ya tsh. 50000,kwa aliye na kadi ya ccm ili kuhudhuria mkutano wake utakao fanyika uwanja wa wambi siku ya kesho, boda boda 100 zinaandaliwa kwa tsh 70000 kila moja kunagesha msafara sharti ni kuwa na kadi ya ccm sisi waandishi tunalamba tsh. 50000 sasa najiuliza hizi fedha zinatolewa kwetu tu au kote