Swala la mtu kuwa Askari haimaanishi atapiga salute kwa kila mtu. Salute zina sheria zake za nani atapigiwa salute na nani. So kabla hujafanya conclusion fanya uchunguzi kwanza.
Cheo cha mwisho katika Jeshi la Polisi kinachostahili kumpigia saluti DC ni nyota mbili. Ukiona mwenye nyota 3 na kuendelea anampigia saluti DC ujue ni kujipendekeza.View attachment 704166
Wataalam naomba mnisaidie! Hivi kiprotocali IGP akikutana na DC anagonga saluti au wanapeana mkono tu kawaida?
Usipotoshe watu, IGP hawezi kumpigia salute Dc labda awe hatambui wajibu wake.Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Mbunge anapigiwa salute akiwa kwenye jimbo lake ila mwisho ni askari Wa nyota 2 tu.Mbunge anapigiwa saluti? Are you serious?
Asnt kwa elimu sahihi.DC anapigiwa saluti na wenye nyota 2 kurudi chini hadi kuruta
Mkuu hiyo haipo labda aamue tu mpigaji saluteView attachment 704166
Wataalam naomba mnisaidie! Hivi kiprotocali IGP akikutana na DC anagonga saluti au wanapeana mkono tu kawaida?
Hahahahhahaanapigiwa bana hata mbunge pia anapigiwa
SIYO KWELIUkiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Yes hata wewe ukifa askari watapiga saluti kukuagaMarehemu naye kumbe anapigiwa saluti?
View attachment 704166
Wataalam naomba mnisaidie! Hivi kiprotocali IGP akikutana na DC anagonga saluti au wanapeana mkono tu kawaida?
marehem ndio kitu cha kwanza kupigiwa saluti akifuatiwa na Rais.Marehemu naye kumbe anapigiwa saluti?
Sio kumpigia tu salute bali atakubali amri anayopewa. Kitu cha msingi kwa askari yeyote kutoka jeshi loloteni kupokea na kutii amri kutoka mamlaka ya kiraia.Ukiachana na neno IGP kumbuka tu kwamba Huyo ni askari hata kabla hajaanza kuitwa IGP, askari anatakiwa kumpigia saluti Amiri jeshi mkuu pamoja na wateule wake wote(DC,RC,PM, Ministers n.k).
Kingine wabunge nao wanapigiwa saluti, majaji wanapigiwa saluti, marehemu yeyote anapigiwa saluti.
Kwa mantiki hiyo Askari akiwa IGP uaskari unabaki pale pale na anaendelea kumheshimu Rais na wateule wake including DC.
Nlifikiri wee uliesema salute zina sheria ndio ungetaja hizo sheria badala yakulalamikaSwala la mtu kuwa Askari haimaanishi atapiga salute kwa kila mtu. Salute zina sheria zake za nani atapigiwa salute na nani. So kabla hujafanya conclusion fanya uchunguzi kwanza.