Kujiandikisha ni 'tisa', 'kumi' yaja!

Kujiandikisha ni 'tisa', 'kumi' yaja!

laigwenan

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
325
Reaction score
80
Je! umesubiri muda mrefu kwenye foleni kusubiri kujiandikisha.

Je ulilazimika kuamka mapema alfajiri au kulala kituoni ili ujiandikishe.

Je mashine za BVR,zinaharibika kila mara ukiwa kwenye foleni,je muda wa wiki maja haukutosha kujiandikisha kwenye kata yako, Je ulitoa rushwa kujiandikisha , kama jibu ni ndio, basi hiyo ni tisa.

Kumi ni ile siku ya kupiga kura kwa kutumia mashine hizi sijui iyakuwaje mimi.
 
Nawaza na kuwazua. Sijui siku hiyo itakuwaje! Hiyo nayo tisa kumi ni siku ya kutangazwa washindi. Siku hiyo sijui itakavyokuwa!
 
Mashine za BVR hazitatumika, kitakachotumika ni kitambulisho tu kinachotengenezwa na mashine hizo
.
 
Je! umesubiri muda mrefu kwenye foleni kusubiri kujiandikisha.

Je ulilazimika kuamka mapema alfajiri au kulala kituoni ili ujiandikishe.

Je mashine za BVR,zinaharibika kila mara ukiwa kwenye foleni,je muda wa wiki maja haukutosha kujiandikisha kwenye kata yako, Je ulitoa rushwa kujiandikisha , kama jibu ni ndio, basi hiyo ni tisa.

Kumi ni ile siku ya kupiga kura kwa kutumia mashine hizi sijui iyakuwaje mimi.

wanasema mashine zitatumika kwa kuandikisha tu na sio kupigia kura
 
Kama mashine hazitatumika....ni uchawi gani utatumika kusoma alama za biometrics??
Na kama mashine hazitatumika basi ni rahisi mtu ukafika kituoni na kujikuta jina lako lilishapiga kura tena zaidi ya mara moja!!

Muhimu ni hili....Kama mashine hazitatumika kwa nini wanasumbua watu kujiandikisha kwenye huu mfumo ambao umeshafeli kabla ya matumizi yake..??
 
Haya ndio matokeo ya kuiga kila kitu bila ya kujitayarisha
 
Nawaza na kuwazua. Sijui siku hiyo itakuwaje! Hiyo nayo tisa kumi ni siku ya kutangazwa washindi. Siku hiyo sijui itakavyokuwa!

Siku ya kutangazwa kuna tatizo gani tena?
 
Nawaza na kuwazua. Sijui siku hiyo itakuwaje! Hiyo nayo tisa kumi ni siku ya kutangazwa washindi. Siku hiyo sijui itakavyokuwa!

Siku ya kutangazwa hatia kuwa na shida kwani ukawa watakuwa wanafuahia matokeo,ila siku ya kumwapisha rais ccm ndio watasusia sherehe
 
Tanzania Ni Zaidi ya Uijuavyo, Wakati wenzetu wanadeal na maendeleo ya technology wanazozimudu, sie tupo busy mstarini BVR!
 
Utafika mwezi wa nane utaambiwa tunahamia kwenye daftari kama ilivyo kawaida, tena ukute daftari lenyewe limekaa hovyohovyo...
Mwaka huu hatukutakiwa kujiandikisha kwa kutumia BVR, tulitakiwa tumalizane na daftari mwaka 2020 tuwe tayari tumejiandaa kwa huu mfumo...
BVR ni disaster na bomu linalosubiriwa kutokea...
 
Siku ya kutangazwa hatia kuwa na shida kwani ukawa watakuwa wanafuahia matokeo,ila siku ya kumwapisha rais ccm ndio watasusia sherehe
Kasheshe tupu. Hatari! Mabomu ya machozi. Vurugu tupu!
 
faida ya mufumo huu
1. huwezi kujiandikisha zaidi ya Mara moja yaani utakamatwa kirahisi sana
2. utaweza kubadilisha kituo mfano kata/ jumbo
kifupi nirahisi kuedit sasa hii inaweza kuwa na faida na hasara ila nilichojifunza kwenye hizi machine inafaida nyingi kuliko hasara...
 
Kwa maana hiyo unaweza kupiga kura tofauti na sehemu uliojiandikishia?
 
Back
Top Bottom