OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

polis wanatumika na ccm. juzi kinana kafanya mkutano wa hadhara mpaka saa 4 usiku lakini polis wanaangalia tu. sembuse salum kuzidisha masaa 2 tu. nimeamini ccm ni chama dola kinabebwa na vyombo vya dola. chadema toeni kauli mara moja juu ya uonevu huu.
 
Yani ukawa wanavyojipa mahope ya kijinga..eti october mtachukua nchi..labda nchi ya kusadikika.
 
Miezi 4 ijayo huyo ocd atakuwa chini ya utawala wa CHADEMA/UKAWA hivyo serikali makini itaweka mfumo utakaowafanya polisi kutenda majukumu yao kwa Weledi mkubwa na kuacha ushabiki wa kisiasa unaoweza kuleta machafuko.
Huyu ocd ni zao la mfumo mbovu wa ccm unaowafanya polisi kuwa mawakala wa chama tawala[/QUOT

Ipo siku itafika, kutii sheria itakuwa jadi yenu
 
Huyo ocd ni kilaza hapo hakuna sababu ya kujigamba bali ni sheria ndo inamuelekeza hivyo. Na km wa ccm wanafanya hawakamatwi ni ujuha wa maaskari
 
Mi huwa sielewi hoja zenu saa nyingine. . . . . Kama ilisemwa mwisho saa kumi na mbili nyie mnajustify kupitiliza kwa Salum sababu Kinana alipitiliza pia????!!!!

CCM ndio role model wa CDM??!!
Kwa nini hamfanyi mambo yenu kwa utaratibu ili kuonesha tofauti???!!!

Matendo huonesha tofauti kirahisi zaidi kuliko maneno mengi. . . . . . . .
 
Hivi wale askali waliompa adabu yule Top wa cuf,,,,,,wako wapi niwape zawadi.....mi nachowapendea polis siku hz wanasoma weng sana tupo nao chuo hapa.....wawapige tu
Umeandika nn sasa
 
Anaitwa ssp mwanyasi ni ocd wilaya ya mufindi anastaafu mwakani kwenye mwezi wa pili anatafuta kupandishwa cheo ili pensheni iongezeke kidogo,lakini walimwachia baada ya mahojiano kwani sheria inasema jua likitoweka ndio usiku na sio saa kumi na mbili
 
OCD AJIGAMBA KUMKAMATA SALUM MWALIM Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kuzidisha muda kwenye mkutano wake uliofanyika katika viwanja vya mashujaa mjini Mafinga

Mwalimu aliyefika katika viwanja hivyo majira ya saa 11 na dakika 48 alipanda jukwaani saa 11:55 alihutubia mkutano huo hadi saa 12:20 huku jeshi la polisi likiwa limeshaimarisha ulinzi katika eneo la uwanja wa mkutano na kumtaka naibu katibu mkuu huyo kuelekea kituo cha polisi

baada ya maelekezo ya hapa na pale yaliyochukua zaidi ya nusu saa,naibu katibu mkuu huyo alienda kituoni alikohojiwa huku OCD akijigamba kuwa yeye ni kiboko Kwa sababu amewahi kumkamata Mbowe na Tundu Lissu

Sasa hii nayo ni habari!!? Mijitu mingine bana!
 
Wewe mwanamke,una akili za funza au umekuwa zombi?.
Kinana kuhutubia mkutano hadi saa nne usiku hulioni kosa?.

Uongo huo, Kinana kasimama kuwasalimia watu waliokuwa wanamngoja hadi usiku. Ni kama Lowasa jana Zanzibar Airport.

Hivi ni lini mtajuwa kusema ukweli?
 
Mbona kinana jana amehutubia mkutano wa hadhara nzega mpaka saa 4 usiku na taa zikawashwa na hakukamatwa?
 
Back
Top Bottom