Recent content by lageneral

  1. L

    Kama humjui, huyu ndiye Mustafa Sabodo!

    Waandishi wabongo vituko tupu.Habari nzima nimesoma sijaona biashara ya sabodo ni nini mbali ya kutuambia alikuwa akifanya kazi za ushauri wa masuala ya fedha sehemu mbali mbali dunia.Kwa mwaandishi makini angetueleza biashara za sabodo ni zipi zinazojulikana zilizoko Tz na kwingineko duniani.
  2. L

    Clouds FM na unazi wao kwa CCM

    Cha muhimu ni kuwa vyama vya upinzani kuwa na media zao.Tutabaki tukilalamika kila siku lakina hilo jambo la ccm kubebwa na vyombo la habari halitakwisha leo wala kesho.Mbowe kama ana gazeti la Tanzania Daima ,hashindwi kabisa kuanzisha redio yake na Tv,kama sio yeye mwenyewe Chadema wanaweza...
  3. L

    Precision air mbona kimya?

    Kitu chakuwekeza bila kupata hasara ni ardhi.Hata kama unapesa kidogo nenda sehemu yeyote Tanzania nunua ardhi kuliko kuwekeza pesa ambazo zitaliwa na uongozi wa kampuni na wajumbe wa bodi.Ardhi haimtupi mtu,period
  4. L

    Kibanda ajitoa kamati ya Nchimbi...

    Kibanda uko mfukoni mwa mafisadi,na kule ccm kuna vita vya kumalizana sasa mkono wenye nguvu unamaliza kambi adui na wewe ni mhadhirika mmoja wapo.Vipi bwana kibanda kama husingepelekwa polisi na mahakamani ungekubali kuwa katika kamati hii ya kiupuuzi ya mavazi la taifa?Nchimbi anajua...
  5. L

    Absalom Kibanda akamatwa!

    Huyu kibanda juzi kateuliwa na Nchimbi kuwa mjumbe wa kamati ya kutafuta mavazi la taifa.Unajua kibanda yumo kwenye kambi ya kumpigia kampeni lowasa kwa hiyo gov inampa tahadhari mapema.
  6. L

    Gazeti la Jamhuri: Nyani walewale msitu tofauti

    Ndio wakuu Kama ilivyotabiriwa,mafisadi tayari wamepenyeza gazeti lao jipya mtaani.Kazi kubwa kuelekea uchaguzi 2015,yetu macho.Deo Balile ndio analisimamia na Shyrose mwali wa Lowasa kesha toa baraka zake.
  7. L

    Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    Lowasa kaazisha gazeti la JAMHURI linalosimamaiwa na Deo Balile ili litumike katika mbio za kuelekea 2015.Kazi kweli kweli
  8. L

    Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    Lowasa kaazisha gazeti la JAMHURI ili litumike kumpigia debe kuelekea uchaguzi 2015.Deo Balile dhambi hii ya kuwatumikia mafisadi itakuandama hadi kaburini.
  9. L

    Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    Gazeti jipya lililoanzishwa na Deo Balile,JAMHURI,limefadhiliwa na Lowasa kwa ajili ya kampeni kuelekea 2015.Hii ni kitu kibaya sana.
  10. L

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    tanzania daima liko chini ya mafisadi,full stop.
  11. L

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Tanzania daima limenunuliwa na mafisadi,njia nzuri nikuliacha kulisoma tu,hwa pamoja na clouds lao ni moja
  12. L

    New Habari Corp ni dalili nyingine ya mgogoro ndani ya CCM

    Kule igunga Mtanzania walitoa makala kuwa ccm kwa miaka yote haijafanya kitu igunga na mwandishi akasahau kuwa igunga kwa muda wa miaka 20 ilikuwa chini ya RA mmiliki wa gazeti hilo.Huu ni mwanzo wa mwisho wa habari corp,raiamwema wako mbioni kuanzisha gazeti la kila siku na redio,watu makini...
  13. L

    Hili la Nchimbi Butiama limekaaje?

    Huyu nchimbi upeo wake wakufikiri ni mdogo saana.Amesoma kwa kuungaunga tu na mpake leo hajatuambia Phd yake kama ni halali au la.Tatizo langu na nchimbi nikuwa na uelewa mdogo katika mambo hata ya kawaida kabisa.
  14. L

    Operating capital of TCCIA firm up 174pc in three years

    Huu ni upuuzi mwingine.Kampuni inatengeneza hasara na bado inataka kujiandikisha soka la hisa.Wajumbe wa bodi hii watakuwa wanajilipa posho na safari zisizo na maana.Watanzania hii ni NICO nyingine.Kama mtu unataka kununua share afadhali ukanunua mwenye huko TCC,CRDB,TANGA CEMENT,TBL na faida au...
  15. L

    Mmiliki halali wa Clouds FM na Primetime Promotions

    Hii redio imezidi kwa u ccm wake,ni wakati mwafaka kwa wapenda maendeleo wa tanzania kuigomea redio hii na ma sponsors wa vipindi vyao na shughuli zingine nao wagomewe bidhaa zao.Hii inafanyika sana katika nchi zilizoendelea
Back
Top Bottom