Mwanakijiji sitaki kuamini kwamba umesahau haraka hivi. Nimetambua unyanyasaji wa waandishi wa habari miaka mingi na ushahidi upo. Kwanza niliongoza maandamano ya kulaani kumwagiwa tindikali kwa Saed Kubenea nikiwa Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania tena baada ya baadhi ya wahariri 'kuingia mitini'. Mimi ndiye niliyetoa tamko la kulaani kitendo hicho. Nilishiriki kikamilifu kuanzisha Jukwaa la Wahariri mwaka 2008 kama moja ya njia ya kutetea uhuru wa uhariri na wa kutoa maoni. Nimeshiriki katika mikutano na shughuli mbalimbali za kudai Sheria Mpya ya Habari nchini sambamba na kufutwa kwa sheria kandamizi kupitia makala zangu na kupitia mikutano ya wadau wa habari. Mwaka jana wakati waandishi waliponyanyaswa katika safari za kampeni za wagombea wa vyama vya siasa, niliitisha mkutano wa dharura wa wahariri na kulaani vitendo hivyo na tamko langu likaripotiwa katika vyombo mbalimbali nchini...
Mwisho sababu za kujitoa katika kamati ziko bayana. Zinanigusa mimi mwenyewe na ni zaidi ya kupinga unyanyasaji wa waandishi wa habari.
Duuu, pamoja na UBOVU WA KIINGEREZA umetufumbua mengine zaidi. Aksante mkuu.You guy!! Wakati mwingine sio ujanja..ni upumbavu,kama una la kusema sio lazima kuchangia,is better to read and to remain quite you will be considered as a person who having wisdom...otherwise this habit which you build in yourself nowdays of just drop whatever comes from your mind it deteriorates your status to your family especialy your wife Jane and your five chidren Michael,Miriam,Mathias,Matrida and Mathayo and I don't think if it is good at all....Jiheshimu mkuu!!
Hivyo eeh?
Mimi nataka kuwa na vazi la Taifa na tuko Watanzania wengi tunataka.Nilisikitika sana niliposikia kibanda umeteuliwa kwenye kamati yamavazi, walikushusha hadhi sana na ndo ulikuwa mpango kabambe wa kufunga ndoa na serikali hii. Waache kina kusaga na sasa wakamchague hashimu lundenga ajaze nafasi yako. Mtanzania gani anataka kuwa na vazi lataifa by tha way!. Dahh! Tanzania kwa kubuni njia za matumizi tupo juu, shida ipo kwenye kubuni kubana matumizi,hapo kama unajipenda usiguse kabisa utapotezwa kama.......