Mmiliki halali wa Clouds FM na Primetime Promotions

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
jamani naomba kuuliza hapa kati ya ruge mutahaba na kusaga nani ni mmiliki halali wa clouds fm?? maana hapa mimi huwa nachanganya je na yule kusaga aliyekufa ni nani? je na Prime time promotion mmiliki wake halali ni nani wakuu naomba msaada hapa kwa hili tafadhali
 
Aliyefariki ni baba yake Joseph Kusaga ambaye ndio mmiliki
haswaaaa na jose na ruge ni washikaji tu lakini kusaga ndo mpango mzima hata kwenye antivirus ambaye sugu anamdis ni ruge na sio j kusaga..
 
thread ina mantiki kwa maana ya kutaka kujua ukweli haswa! hata kuboronga kwa Clouds fm tokea mwanzo na hasa kipindi cha kampeni mwaka jana tujue hasa nani muhusika mukuu wa kutizamwa kwa jicho kali. hata haya ya kuexploit wasanii kwa mgongo wa kukuza vipaji tujue nani hasa master mind aweze kuangaliwa kwa kina
 
thread ina mantiki kwa maana ya kutaka kujua ukweli haswa! hata kuboronga kwa Clouds fm tokea mwanzo na hasa kipindi cha kampeni mwaka jana tujue hasa nani muhusika mukuu wa kutizamwa kwa jicho kali. hata haya ya kuexploit wasanii kwa mgongo wa kukuza vipaji tujue nani hasa master mind aweze kuangaliwa kwa kina
Yeah, hapo mtu wangu umeongea point...!
 
clouds fm inamilikiwa na kina kusaga,marehemu alex kusaga(babaake joseph kusaga) ndie aliyetoa pesa na ofisi za pale kitega uchumi katika kuianzisha,hivyo mpaka anakufa alikuwa ndie mwenyekiti mtendaji wa hii radio,kuna mtu ana hisa pale lakini hisa nyingi zinamilikiwa na kina kusaga(joseph na ndg zake)
ruge ana hisa clouds?
joseph kusaga na ruge ni marafiki wa siku nyingi sana,wakati jose anapiga disco ruge alikuwa anamtumia sana nyimbo,kipindi hiko ruge anasoma marekani.wakati clouds inataka kuanzishwa joseph akamwambia mshikaji wake(ruge) na ruge akatakiwa atoe dola 20,000 ili awe na hisa,ruge akamwambia mzee wake na mzee wake akamkatalia na kumwambia ruge atafute chuo akasome masters(ndg zetu wahaya na kusoma) hivyo ruge akashindwa na hilo sharti hivyo akawa pembeni kati ya wanahisa wa clouds..
radio ilipoanzishwa,joseph akampa mshikaji wake(ruge) umeneja,hivyo ruge ameajiriwa tu pale clouds,lkn baada ya miaka kwenda nae akaamua kutoka na kitu chake cha pembeni ambacho akakiita tanzania house of talents(THT)
Hivyo ruge ni mwajiriwa tu pale clouds ila ni mmiliki wa THT
 
Hii redio imezidi kwa u ccm wake,ni wakati mwafaka kwa wapenda maendeleo wa tanzania kuigomea redio hii na ma sponsors wa vipindi vyao na shughuli zingine nao wagomewe bidhaa zao.Hii inafanyika sana katika nchi zilizoendelea
 
Kusaga ndiye mmiliki na walianza na Disco lilikuwa linaitwa Biribi na lilikuwa linatesa sana katika mitaa ya jiji baadaye mambo yalipoanza kujipa ndio wakaamua kubadilisha jina na kujiita Clouds.
 
Familia ya akina kusaga ndo wamiliki rasmi Ruge ni mwajiliwa tuu pale.Nilishawai fanya part time pale enzi za akina AC
 
Back
Top Bottom