Recent content by LadyDD

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Kura kwa Lowassa PAYE ni kubwa sana kwa kweli. Wafanyakazi tunalipa kodi kubwa kuzidi wafanyabiashara. Sio fair kabisaa.
  2. L

    JamiiForums Tanzania IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Nakubaliana na nyinyi wakuu, CCM wamekuwa wajanja kwa kuwawezesha wagombea wasio na changamoto kwao, kushinda kwenye kura za maoni CHADEMA na kuwaengua wagombea watakaoleta ushindani mkubwa kwao mfano Igunga, Geita mjini na jimbo la Nyasa haya ni majimbo machache kati ya mengi ambao huu mchezo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania IGUNGA - Bila Mwl. Kashindye CHADEMA inajichimbia KABURI

    Nakubaliana na mtoa mada kwa asilimia 100. Uongozi wa chadema CHADEMA inabidi uwe makini sana kwenye kupitisha wagombea, yapo majimbo mengi tu ambayo wagombea wamepita kwa rafu za kiCCM, kama kugawa rushwa kwa sana, mfano wa majimbo mengine ni jimbo la shinyanga mjini na jimbo la Nyasa. Watia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tayari CHADEMA imejihakikishia kura 6,000,000 Tanzania bara

    October 2015 UKAWA all the way
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lowassa na Kingunge kutimukia UKAWA hizi hapa

    Labda ahamie lakini awe mwanachama wa kawaida, hapo watu wanaweza kuelewa, bila hivyo tutawaona CDM nao ni wasaka tonge tu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wana JF, Naomba kujuzwa juu ya pishi liitwalo Stima

    Steamed fish inakuwaje?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akabidhi msaada wa CHADEMA kwa waathirika Kahama

    Amina.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa mapenzi na password ya simu

    Pole mwaya, ni kweli kama hachepuki password ya nini?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

    KikulachoChako Very true.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mtoi: Nitagombea Ubunge Jimbo la Lushoto

    Matazano mzuri na agenda kweli ni moja CCM out, ni lazima kuwe na wagombea kila jimbo ili ccm wasipate ushindi kabla ya uchaguzi kufanyika. Lakini pamoja na agenda hiyo lazima CDM wawe na vetting ya wagombea ili wapitishe wale tu wanaofaa na kukubalika maeneo husika.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Good Luck dear!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, safisha kabisa jeshi la Polisi kabla ya kung'atuka

    Ndo maana yake aondoke akiwa amesafisha huu uozo uliopo. Tatizo ni ataweza kwa muda huu uliobaki kama ameshindwa kusafisha ndani ya miaka 9?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanamke wa Kizungu kuna raha na shida zake

    Ingekuwa wewe umegundua anacheat ungemwamini tena? Hilo halihusiani na uzungu wake hata kidogo. Hata ningekuwa mimi siwezi kukuamini tena.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume Umri 38-43: Mrejesho

    Nishapata. Ahsante.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

    Ni kweli tunafuata mambo 6x6 hela hata sisi tunatafuta.
Back
Top Bottom