Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

Jinsi ya kufanya mwanamke wako akuheshimu

Haya masuala huwa hayana kanuni kabisa na inategemea na mtu mwenyewe
 
KikulachoChako
Well said,mwanamme akijitambua hivi lazima nimheshimu na kumpenda mpenda mpk ajihisi yuko peponi.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake hawana formula ya kuelezea tabia zao,cha maana ni kuishi na wanawake kwa akilo tu basi.
 
Binadamu ni system inabadilikaaaa, kalili upoteee
 
Mmh ghalama za uendeshaji wa mapenz zinazid kupanda wakat ghalama za uendeshaji wa gari zinazid kushuka
kwa kifupi hii industry ya mapenz hainaga formular kabisa
 
Back
Top Bottom