Natafuta Mume Umri 38-43: Mrejesho

Natafuta Mume Umri 38-43: Mrejesho

Congratulations, good luck and all the best.

 
Last edited by a moderator:
Naomba utupe mrejesho mwingine baada ya miezi 3
 
Wakuu nawashukuru kwa uwepo wenu.

Nimerudi hapa kwa mara nyingine kutoa mrejesho wa uzi wangu niliopost hapa kutafuta rafiki na Mume.

Kwanza, ninamushukuru Mungu kwa yote. Pili ninashukuru uwepo wa Jamii Forums kwa kunikutanisha na mtu ambaye ameufanya moyo wangu ugusike, asante love, sina la kusema zaidi namuomba Mungu atusimamie na kutuongoza.

Ningependa tu kusema kwamba, kwa wale wanaotafuta wenza, humu pia kuna potential candidates wengi tu ni wewe tu kuwa makini na kufanya homework yako vizuri. Mapenzi ni risk haijalishi mmekutana wapi.

Asanteni na mbarikiwe sana.

Viva Jamii Forums.


Usisahau kutualika kula ubwabwa kama bado hamjafunga ndoa. All the best dears!
 
kW umri huu huyo atakuawa Mme was MTU tayari keahiyo ujiandae kula kibano cha haja
 
Back
Top Bottom