Natafuta mume,umri kati ya 37-42

Natafuta mume,umri kati ya 37-42

Sina mtoto. I am btn 30 and 35

Kwa umri huo dada kwanin una limit mme wa miaka 42?kwani akiwa na miaka 49 kuna tofauti gani hapo?the same applies akiwa na miaka 36.

Lakin pia ni vyema uweke umri wako kamili badala ya kuweka range, hiyo itasaidia kutupa mwanga.
 
Zali la mentali....lilitokea wakati mimi nina njaa.....nikapendwa na dada mkali....nikaacha wana JF wooote wakinishangaa katika mitaaaaaa............
 
unatafuta mume ama "mume wa mtu"? maana ata that age wanaume wengi washaseto na familia,, waliobaki ndo wale mabachela for life, hata wakioa kwa kulazimishwa kiuhalisia hubaki mabachela
Sikuwa najua hili!!Bachelor for life lol!!
 
nipo dada kama kweli upo na ukwwli.nikupe namba zangu?
 
du,miaka yote hiyo ulikuwa wapi?at 35 wenzako tuna mpango wa kuacha kuzaa,wewe ndo ukaanze,haya kila lenye heri
 
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.

Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!

Nipo tayari kupima UKIMWI na nipo tayari kuwa mme wako ila sina hela tu
 
du,miaka yote hiyo ulikuwa wapi?at 35 wenzako tuna mpango wa kuacha kuzaa,wewe ndo ukaanze,haya kila lenye heri


Hata vidole vya mikono yetu havilingani ndugu.
 
Nani ambaye hana familia na umri wa miaka hiyooo... sema watafuta Mme wa Mtu tu...... But that Non of my business

Waume wa watu mnaitwa huku

RG you are being too harsh & judgemental SWAPO wanaume Wa umri huo ambao ni widows & divorcées Jaribu kuthink out of the box!
 
Back
Top Bottom