Uaminifu wa mapenzi na password ya simu

Uaminifu wa mapenzi na password ya simu

mapenz ya kushikiana cm sio mazur...if u trust her/him why uhangaike na cm yake??? unless unatafuta sababu ya breakup nae
 
Mdada mko nae kwenye mausiano ila anapiga simu akiwa na shida ya PESA, kweli kuna mengi ya kujifunza kwa mademu wa nyakati hizi
 
watu wanafuga nyoka na simba...la msingi ni kuhakikisha wako caged 24/7
The only way to cage your partner is to access his/her phone without any restrictions. I like Smartphones
 
The only way to cage your partner is to access his/her phone without any restrictions. I like Smartphones

I am with you all the way..nilikuwa namuelewesha mjomba aliyedai kuwa kama humuamini usiishi nae nyumbani
 
Nini kukupa password, hata kuigusa hugusi
 
I am with you all the way..nilikuwa namuelewesha mjomba aliyedai kuwa kama humuamini usiishi nae nyumbani
Nimekupata!!! ingawa ni siri ya ndani ila kugongewa kunauma na huwezi kugongewa bila kupitia mshenga na mshenga siku hizi ni SIMU
 
Uuiwii mmenigusa nateswa sana na password ya mume,imagine nimekuwa muaminifu kupita kawaida dah so sad.badilikeni mnaofanya hivo.kama huchepuki pass ya nini??????
Pole mwaya, ni kweli kama hachepuki password ya nini?
 
Kwa sasa kila mtu anatamani au anatumia Smartphones,hata huku kwetu vijijini akinadada na makaka wa kishua wanatumia hizo simu tunaita simu-tanashati.

Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako anaaminika au haaminiki, ni kuangalia kama simu yake ina Password unayoifahamu.
Kama mpenzi au mwenzi wako anaweka password ambayo huijui, jua si MWAMINIFU na muogope kama ukoma maana udanganyifu wa mapenzi umezidi.

Ujumbe: kabla ya kugegedana muombe mpenzi wako kama njia ya kumuandaa akupe simu yake/zake na uchungulie; akikupa jua ni mwaminifu na endelea hata bila ndomu ila akikataa geuka mzungu wa tano.


Wekeend njema

nakusapoti to some extent..lakini kuna wakati mwanamme anaweza kumnyima mke wake password kwa sababu za msingi. Na sababu hiyo isiwe ya kimapenzi..You know how our female species like to talk eeh? sometimes deal zangu zinaweza kuwa of questionable legality..sasa kama natumia cm kuwasiliana na jamaa zangu katika dea za nature hiyo obviously kutakuwa na vitu kama reminders, sms, note n.k kwenye cm. Imagine mwanamke akiviona what happens? The next minute atakuwa kwenye cm yake and it will be lyk "nikwambie shogangu Betty, yaani muda wote nipo kwenye ndoa na leo ndo nagundua mume wangu anadeal na almas za magendo! shoga nimeona sms na anajiandaa na jamaa zake kwenda Ujerumani..ila nikwambie kitu? Nitamg'ang'ania mpaka twende wote maana mwenzio nina hamu ya kukwea pipa usiseme.. ila shoga usimwambia Mariam si unajua alivyo na mdomodomo yule..ha ha ha"

Next week the Law will be sitting on your lap....charge? Illegal smuggling of uncut diamonds..na utabaki unajiuliza imekuwaje ukagundulika wakati you had a watertight business web..you forget you have a woman with your password

Thats a simple example lakini mwanamke sio wa kupewa password hata kama wewe kidume ni mwaminifu
 
Mtoa mada nakuunga mkono sana.. Iwapo wewe girl ni wangu na mimi ni meni wako, siri iko wapi tena. Wewe huwezi kuwa na siri yoyote ya kuficha kwangu na mimi cwezi kukuficha lolote. Iwapo ushaweza hadi kunivulia pichu yako, sembuse simu/password!! Halafu mkumbuke kwamba HAKUNA SIRI YA WATU WAWILI, SIRI NI YA MTU MMOJA TU NA MOYO WAKE. Kama ana mshkaji pembeni, NITAMJUA TU SIKU MOJA!
 
Unampenda mtu anakukubalia na anakuambia lkn hauko peke yako,Unakubali halafu unashangaa simu kuwa na password!!Jiongeze tu hapo
 
Kila mtu atumie simu yake tusiuane na presha

Mzinzi utamjua tu. Ikiwa mmekubaliana ku-share dushelele na kipochi manyoya inakuwaje mshindwe kuaminiana ktk mambo madogo kama simu? I see, mimi binafsi nikiwa na doubt na mwenzangu nitakagua simu yake atake asitake. Huu ni utaratibu wangu. Bahati nzuri simu yangu iko wazi, hata nikienda bafuni kuoga, naiacha mezani.
 
Wanaume mnaongoza ni michepuko tu ukiyaona yaliyomo unaweza kuzimiaaaaaaaa
 
Hata wahenga walisema ukimgeuza sana nyoka utaona miguu yake,chakufia ni nn!!
 
pattern..... duh ndoa zinawenyewe bwana mie yangu konyagi.

.
 
dizain kuna ka ukweli flan
bt dah one day yes ingawa moyo sio wa chuma yanilikuta nikatamani ardh ipasuke nidumbukie
 
Back
Top Bottom