Barabara hizi ni maendeleao ya jiji letu la Arusha we need good roads here is nothing to do na road to Tabora na Iringa au Tabora na Mbeya peleka malalamiko yako wa hizo road za taifa kwa Makufuli
Pinda ni mwaoga wa kufanya mamuzi magumu serikalini anagalia JK anasemaje kwanza ndio naye atoye mamuzi yake bila kumkasirisha JK he is the Weakest link in goverment. (unakumbuka sakata la madakitari? he did nothing) :smash:
"3.Wanadai baada ya muafaka wa barabara na shule kupatikana watataka sasa wajue nini muafaka hiyo ardhi iliyomilikishwa kwa mzungu mmoja huku wananchi wa eneo husika wakiteseka kwa kukosa ardhi"
THIS IS NOT TRUE THERE MANY TANAZANIA'S HAVE BOUGHT LAND AT DOLLY FARM AND SIO YA MZUNGU MMOJA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.