Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

jamani huyo bendera si mwanamtandao...ulitarajiaje amwache uchi mwanamtanadao mwenzake...?
tafakari............!
 
jamani huyo bendera si mwanamtandao...ulitarajiaje amwache uchi mwanamtanadao mwenzake...?
tafakari............!
 
Watu walipaswa kujadili hoja iliyoko hapa si nani mkuu zaidi kwa mujibu kwa kutoa matamko na nani anaifahamu RC zaidi na sijui alama za Roma n.k

Tendo la Kardinali Pengo ni la kupongezwa sana. Nafanya utaratibu wa kutunga wimbo wa kuwahasa Maaskofu, Wachungaji na Mashehe wote kuwa makini sana na wanasisasa wanaotuingilia ili kujisafisha kupitia vyombo vya dini.

Hapa hakuna cha Canon law wala cha Catechism.

1. Lowassa hakuwa amekaribishwa kama mmoja wa wageni (kama una huo mwaliko leta hapa barua na tuone nani alimwalika)
2. Lowassa hakuwa amepangwa kutoa speech au kusalimia Waumuni kama una hiyo ratiba onyesha hapa nakala yake
3. RC hakuambiwa kuwa kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi aangalie nani anafaa ampe pia nafasi kama una hiyo ruhusa rusha hapa audio yake tusikie. Afterall, why Lowassa kabla ya mgeni rasmi kuongea? Hii ni itifaki ya asasi gani?

Kama mambo ya namna hii yamekuwa yanafanyika huko nyuma katika RC au KKKT na Makanisa mengine sasa ni mwisho. Wakristo wala Waislamu msipoteze haki zenu kwa kudhalilishwa na mtu kama Lowassa.

Nawambia tena kuwa kama ndani ya CCM kuna watu wanadhani kuwa Lowassa ndiye chaguo la wengi basi wajaribu waone 2015. Ni lazima hekina iwafundishe kuwa mtu aliyewahi kuwa PM na akashuka chini kwa tuhuma za ubadhilifu na kutoajibika sasa iweje atake kuwa Rais? Yaani katika mamilioni ya Watanzania hakuna mwingine ila Lowassa tu?? This is rediculous!

Pili, wanaosema kuwa Yesu hakuwa wa ubaguzi ni kweli lakini si kwa staili hii mnayotaka kutuaminisha. Yesu aliwapokea wezi wengi hata akina Lazaro (mtoza ushuru) lakini aliwatask kutubu, kurudisha mali walizoiba na pia akawambia kuwa wasitende dhambi tena. Je Lowassa ameshawahi kuomba Watz msamaha hata kwa lolote juu ya Richmond na madudu kibao akiwa kama Kiongozi mkuu wa Shughuli za serikali na pia juu ya Mawaziri wote?
 
Back
Top Bottom