Recent content by KwayuG

  1. KwayuG

    Nataka kununua shamba Rufiji

    ALF asante kwa maelezo mazuri nitakucheck ktk simu
  2. KwayuG

    Patience mpaka lini..!??

    Do justice to your inner feelings, your hurting yourself for no reason, just tell her what you feel for her, and how far you want to take your relationship if she says YES. But be ready to accept all the answers she will give you.
  3. KwayuG

    Zain-Database Administrator

    Don't trouble yourself wameshaajiri mtu wa nje, foreigner
  4. KwayuG

    Haya huwa yananikera sana......

    sasa kama unachukua watoto wa uswazi unategemea nini? lazima adha kama hizo ukutane nazo
  5. KwayuG

    Chemistry and Love within JF

    kama una matatizo si uyatafutie ufumbuzi, huku utakuwa unatafuta matatizo mengine
  6. KwayuG

    Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

    your the kind of person i'm looking for, naomba address yako if there is still vacancy.
  7. KwayuG

    Miili yetu inapojibu mawazo yetu kwa maradhi!

    nice article, nadhani mawazo yetu yana athiri sana miili yetu na utendaji kazi wetu, ila hawa dada zetu tunaowaita girl friends wanachangia kutupa stress sana. i wish i can live my life without having one, but i need love n to be loved
  8. KwayuG

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    vidume vya mbegu
  9. KwayuG

    "Help! I'm Trapped In a Relationship I Don't Want to Be In!"

    tell him the truth, then call me
  10. KwayuG

    Je nimpe talaka au nifanyaje

    we mwenyewe si ndo ulikula kiapo Mbele ya Mungu kwamba mpaka kifo kiwatenganishe?. nadhani kama ulikuwa umekaa nae kwa muda mrefu ukamsoma vizuri ulifahamu wazi tabia yake kabla hamjaoona. Vumilia naye tuu, ila unatakiwa uwe mkali kwake ili akuheshimu na afuate maelekezo yako. ukiwa unamwabia...
  11. KwayuG

    nafasi za kazi SUA

    Hapa Bongo criteria ya kupata kazi, ni "who do you know and not what do you know"
  12. KwayuG

    Caught kissing on camera! do I need to bribe the IT guy?

    Nadhani hiki kisa umekitoa somewhere, na haijakutokea
  13. KwayuG

    Hii kitu mnatumia?

    kwa vijana ambao wapo wapo sana, inabidi tutumie tuu hata kama ladha inapungua, bora ulinde maisha yako. si vizuri kumwamini mtu kama hamjapima hata kama uko nae kwa muda mrefu.
  14. KwayuG

    Black men love big fat girls

    mi nadhani kila mtu ana taste yake ya mwanamke, regardless ya color yake
  15. KwayuG

    Employment Agencies

    Try this one
Back
Top Bottom