Patience mpaka lini..!??

Pole na hongera kwa uangalifu wako katika maisha kijana. Ninavyoelewa mimi ni kwamba wewe unlimpenda huyu dada, ispokuwa hukumtamkia kwa sababu ulijipa muda wa kumchunguza umjue zaidi kama atafaa kuwa mchumba na pia ulikuwa katika masomo hukupenda kuwa involved.
Kwa kuwa alikuwa karibu sana na wewe (rafiki), ungechukua hiyo priviledge ya kumuomba awe mwangalifu sana katika mahusiano, asifike mbali na mahusiano kabla ya kuwasiliana na wewe kwa ushauri ili asije kuwa engaged kabla wewe hujafikia uamuzi. Though huu ni ubinafsi, lakini hii ingekupa muda kuendelea kumchunguza bila kuwa na hofu kuwa atachukuliwa na mwingine bila wewe kujua.
Kwa kuwa hukufanya hivyo na sasa ana bf. Nakushauri fanya kama ulivyoamua, vumilia hadi atakapokuja umtamkie with confidence, na umwage sera zako zote pamoja na jinsi ulivyompenda tangu mko shule – I belive u know how to do it! Good Luck.
 
Do justice to your inner feelings, your hurting yourself for no reason, just tell her what you feel for her, and how far you want to take your relationship if she says YES. But be ready to accept all the answers she will give you.
 
You are such a selfish person, yani wewe ni mentor, anakuja kukwambia nimepata kidume, unamwambia go ahead, kwa sababu wewe hauko tayari kumwambia kwa sababu zako, then unaendelea na masomo yako.....humwambii coz unataka kusoma na kupata kazi nzuri........yeye akae tuu akingoja, halafu ukishaweka mambo yako safi ndo umfuate??!!! selfish selfish.

ni mazamo tu.
Naheshimu mtazamo wako ila naomba kupinga kiasi!
Hata wewe fikiria when you are in school your first priority ni masomo and that is what I as a mentor am supposed to tell her. singeweza kuanza kumwambia kuhusu mapenzi. Then age difference ilikuwa shida...kipindi hixho nlikuwa namchukulia kama mdogo wangu yani...mpaka kuja kurealize it was love ni semester ya mwisho..
where is my selfishness??!
Alafu, kwani wewe ungetaka kupropoziwa na mwanaume ambaye amelost!??
Are we not allowed to have prioroties in life?or do you call my prioroties selfisheness!??
 
Pole na hongera kwa uangalifu wako katika maisha kijana. Ninavyoelewa mimi ni kwamba wewe unlimpenda huyu dada, ispokuwa hukumtamkia kwa sababu ulijipa muda wa kumchunguza umjue zaidi kama atafaa kuwa mchumba na pia ulikuwa katika masomo hukupenda kuwa involved.
Kwa kuwa alikuwa karibu sana na wewe (rafiki), ungechukua hiyo priviledge ya kumuomba awe mwangalifu sana katika mahusiano, asifike mbali na mahusiano kabla ya kuwasiliana na wewe kwa ushauri ili asije kuwa engaged kabla wewe hujafikia uamuzi. Though huu ni ubinafsi, lakini hii ingekupa muda kuendelea kumchunguza bila kuwa na hofu kuwa atachukuliwa na mwingine bila wewe kujua.
Kwa kuwa hukufanya hivyo na sasa ana bf. Nakushauri fanya kama ulivyoamua, vumilia hadi atakapokuja umtamkie with confidence, na umwage sera zako zote pamoja na jinsi ulivyompenda tangu mko shule – I belive u know how to do it! Good Luck.
Elimumali, do you think that is the best way ya kufuata when you are checking someone?Je, haitakupa furaha kuona pamoja na kuwa hujamtamkia kuwa wampenda bado anaweza kukataa proposal ya mtu mwingine ambaye hata hawakuwa wakifahamiana vizuri!??
 
Naheshimu mtazamo wako ila naomba kupinga kiasi!
Hata wewe fikiria when you are in school your first priority ni masomo and that is what I as a mentor am supposed to tell her. singeweza kuanza kumwambia kuhusu mapenzi. Then age difference ilikuwa shida...kipindi hixho nlikuwa namchukulia kama mdogo wangu yani...mpaka kuja kurealize it was love ni semester ya mwisho..
where is my selfishness??!
Alafu, kwani wewe ungetaka kupropoziwa na mwanaume ambaye amelost!??
Are we not allowed to have prioroties in life?or do you call my prioroties selfisheness!??
If only she was a priority to you, you wouldnt tell her go ahead, get screwed, no problem. You wouldnt let her go.

It is point clear that she was not on your priority list.......women are very intelligent, ukimfuata na kumwambia ooh mimi nilikuwa nakupenda sana. Atasoma between the lines na kugundua kuwa ulikuwa una-mipango yako, na uliona kuwa nae kwa wakati ule atakuwa mzigo kwako.
 
Put yourself in my shoes...ungeenda kumuambia!??

Mimi hata hiyo nafasi ya kuchangamkia njemba mwingine nisingempa labda kama ningekuwa simpendi kihivyo kwamba anafaa kuwa mke wangu. Vinginevyo mwanamke anapokutamkia "I love you" lazima uchakarike na kama huna hisia kama hizo kwake basi ni lazima umfahamishe.
 
If only she was a priority to you, you wouldnt tell her go ahead, get screwed, no problem. You wouldnt let her go.

It is point clear that she was not on your priority list.......women are very intelligent, ukimfuata na kumwambia ooh mimi nilikuwa nakupenda sana. Atasoma between the lines na kugundua kuwa ulikuwa una-mipango yako, na uliona kuwa nae kwa wakati ule atakuwa mzigo kwako.
Priorities differ with time: at taht time to both of us the priority was to do that we ought to do-studying so that we could get to do what we want to do! ain't that ryt Bigirita.
I believe when she reads between the lines she will understand...
 
Ndiyo MKIJIJI msaidie huyo kwa sababu ni ZOBA. Au anatafuta mapenzi ya kwenye novel. Hizo ni tamthlia.Grab the opportunity when it presents itself.
Wahenga walisema:"It takes one to know one."
nashukuru kukufahamu.
 
Priorities differ with time: at taht time to both of us the priority was to do that we ought to do-studying so that we could get to do what we want to do! ain't that ryt Bigirita.
I believe when she reads between the lines she will understand...
Wrong broda!!! you said you were her mentor?? what does a mentor do? tell the mentee, its fine go ahead get screwed?

And you are telling us you had priorities? and the priority at that time among others(!) was studying? this is a joke, kwa nini hukumshauri atulie kwanza as she need to concentrate on her studies?
Wewe sema priority yako ilikuwa masomo and you didnt give a damn about her and especially when she told you there is this guy I am falling in love with.
 
Mimi hata hiyo nafasi ya kuchangamkia njemba mwingine nisingempa labda kama ningekuwa simpendi kihivyo kwamba anafaa kuwa mke wangu. Vinginevyo mwanamke anapokutamkia "I love you" lazima uchakarike na kama huna hisia kama hizo kwake basi ni lazima umfahamishe.
Sawa bubu..shukuru haijakutokea! Siku hizo tukisoma huko nairobi kila mtu anakuambia I love you..hata haikuwa na maana. Na hiyo yake at that time was more of thanks koz nilikuwa namsaidia sana..
 
Sawa bubu..shukuru haijakutokea! Siku hizo tukisoma huko nairobi kila mtu anakuambia I love you..hata haikuwa na maana. Na hiyo yake at that time was more of thanks koz nilikuwa namsaidia sana..
Mlikuwa mnasoma nersary school nini?

I love you means Thank you? nimeanza kuisikia kwako hii.
 
pole sana dear, ndio maana Ronan keating akaimba Tell that some one that you love if 2mrw never comes. anyway kilichoandikwa mbinguni hakifutwi duniani.
all the best!
 
Mkuu COMPAQ nimepitia hii thread yako toka mwanzo na mpaka mwisho nimesoma kila mtu alivyokushauri,

ila nilichokuja kugundua ni kwamba wewe mkuu ni mwoga kuongea na mwanamke,kama una mfeel mwanamke kwa nini usimpe ukweli??Hivi ukiwa na mwanamke na unampenda na upo nae kwa mda mrefu na hujamtamkia kitu mpaka anafika na kuchukua mwanaume mwingine unategemea nini hapo??It means amekuona kwamba wewe labda huna mpango nae na alivyotegemea toka kwako sivyo alivyo pata.

Then kitu kingine kama una mpenda mwanamke huna haja ya kumwambia eti nakupenda nadhani njia rahisi kama unaona aibu kuwasiliana nae fanya vitendo ambayo ataona kwamba huyu jamaa ananifeel na ananipenda na kila kitu kilichobakia kitakuja automaticaly nadhani wengi wanaume wanawaogopa sana wanawake na kujua kwamba nikimwambia hivi huyu mwanamke anaweza kunitukana au kunisemea mbovu mbele za watu.

Usiofie hivyo mkuu hawa ni watu wa kawaida ila jaribu kama ukiingia usiingie na gear za kipuuzi ndio hapo utatolewa vibaya,ila wewe mfate na mwambie tu hali harisi hawana tatizo hawa.

Watu wengi huwa hawapati wanavyotaka kwa sababu ya woga na kuongea pia.Kwa hiyo ndio hivyo ndugu yangu kama unaweza fanya hivyo sasa hivi,Hata kama ana mwanaume hiyo sio sababu mkuu ni wewe tu ujanja wako na manjonjo yako utakavyofanya yeye mwenyewe atakuja kwenye line na atatulia na utakuwa nae 24/7.

Kazi kwako mkuu na kila la kheri,kitu cha mwisho ukiogopa kuongea na mwanamke utapata tabu sana.
 
Naheshimu mtazamo wako ila naomba kupinga kiasi!
Hata wewe fikiria when you are in school your first priority ni masomo and that is what I as a mentor am supposed to tell her. singeweza kuanza kumwambia kuhusu mapenzi. Then age difference ilikuwa shida...kipindi hixho nlikuwa namchukulia kama mdogo wangu yani...mpaka kuja kurealize it was love ni semester ya mwisho..
where is my selfishness??!
Alafu, kwani wewe ungetaka kupropoziwa na mwanaume ambaye amelost!??
Are we not allowed to have prioroties in life?or do you call my prioroties selfisheness!??

Mkuu samahani kidogo,Siwezi kukuuliza una age gani mbele za watu ila hayo maneno yako yananipa wasiwasi kidogo na age uliyokuwa nayo,ina maana ukiwa shule huwezi kuwa na mpenzi na hiyo ni school gani??High school,au College au University??Maana kama ni university basi haiitwi school na kama ni college pia haiitwi school sasa sijui wewe mkuu unaizungumzia school gani hiyo labda tupe ufafanuzi zaidi!
 
Compaq!

You don't deserve her let her go bana! 'n stop kidding y'aself man!

simply... go get a life!

Kwa nini nasema hivyo ni kwa sababu when we love somebody we stand up BOLDLY and FIGHT for that love!
 
Wadau salaam,
Naandika hii with a clear knowledge of the ancestors' saying that:"Patience pays."
But I sat back and thought...how long should you wait?
I just lost her...and may be I may not have her again...but seriously doesnt patience have its limits??!
It happened three years ago in college,
We met-I as a senior student and her a new student-and became great friends. I used to help her in studies, life and we just hanged around together. As a result I fell in love with her...She never realized it, because anyway i neva told her!
I believed in patience, and so I kept my piece acting like the normal good friend she has always known.
Just before I completed school she got a boyfriend. Some guy she just knew for two weeks and voila..they were in a relationship. She came to me as a friend asking for ideas. That she just liked him but she is trying to see if it might work. I told her to do what she felt was right. In my heart I was hurting a lot..
I still believed in patience. I thought she will come to realize how much I love her. She always used to tell me "I love you"..and I never understood that kind of love she was talking about.
Anyway, it is three years now..I am ready to let her know what I feel about her and I still remember the words of our ancestors; "Love is Patience".
For how long then? Until when I hear they are getting married?
I am a bit confused...Does patience have limits?
What should someone be doing to the person they love during the waiting time..so that they don't end up loosing them?:confused:

Vumilia, usirudi nyumaa kaza mwendo usife moyo, vumilia usirudi nyuma pambazuko liko karibu (mie naimba tu)
Imekuwa kisa cha m,uomba jamvi.
Kama ulimpenda why usingemwambia? kwake yeye asingekusisitizia kwani mwanamke kumwambia mwanaume nakupenda na akasisitiza hasa upendo unaoelekea kwenye sexual relationship ni ngum sana. Huwa hata ukimwambia mwanaume kwamba unampenda all they do ni ku end up kukuona wa ajabu na they take it for granted. I will never tell a man kwamba nampenda.

Ehe ULIMPATA AU ALISHAOLEWA??????@Mentor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom