Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Alf we ni mzalendo na utasaidia hawa vijana hapa mjini,maana wamebaki tu kushusha suruali boxer zao za buku mbili zionekane,Tunajipange tuje
Naomba unisaidie gharama za kuchimba kisima.Jana nilikuambia mimi ni msukuma lakini ilikuaje nikafika Rufiji? Nikwasababu nilipelekwa na watu, hivyo hata mimi ningependa kupeleka watu wengi zaidi umoja ninguvu.
Me nataka nifanye ufugaj tu. Naombeni maada wa mawazoALF kubishana na mtu mwenye imani yake utapata shida tu ila mimi nikushukuru kwa maelezo yako maziri yenyekueleweka,lakini mkuu mimi nipo Ikwiriri na kulingana na mahitaji ya mdau huo ni lazma aweke wazi kwanza anataka kulima mazao gani ili tunapokuja kumpa information tumpe zenye usahihi kulingana na matakwa yake
Yrsozigwa nakubaliana nawewe, cause nikauliza je yeye anataka kulima mazao gani? Akijibu mazao gani ndio wadau watamsaidia kulingana na eneo la hitaji husika.
Nimepokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali nashukuru kwa siju zenu na kuonyesha nia katika kilimo, mimi nipo maeneo ya bungu njia yakwenda nyamisati, hivyo naweza kutoa msaada kwa watu wanaohitaji maeneo sehemu za Kimbendu, Mlanzi, Msumo, Hanga, Mahege na nyamwage na wakati fulani kuna mtu alikuwa anauza shamba eneo la Jaribu ila sijawasiliana muda kujua kama bado lipo.
Ila kwa ushauri nivizuri kama mnachukua maeneo, mkachukua maneo ya karibukaribu inakuwa faida sababu mnakuwa na mawasiliano ya taharifa, pia hata kuunganisha nguvu kwa kuweka maendeleo ya haraka.

Ila kwa ushauri nivizuri kama mnachukua maeneo, mkachukua maneo ya karibukaribu inakuwa faida sababu mnakuwa na mawasiliano ya taharifa, pia hata kuunganisha nguvu kwa kuweka maendeleo ya haraka.[/QUOTE
Asante sana ALF,
Natumai tupo wengi tunaohitaji maeneo hapo rufiji, maoni yangu kwa wale tunaohitaji kama alivyotushauri ALF tuungane kwa kwa pamoja ili tuweze kupatiwa maeneo yalioko karibu karibu...
Ahsante sana mkuu nimepata elimu.Mkuu kama walivyokwambia wanajamvi wenzangu Rufiji ni wilaya na makao makuu yake yapo Utete.
Wilaya ya Rufiji kwenye barabara kuu iendayo Mtwara imeanzia Jaribu Mpakani, Bungu, Kibiti, Ikwiriri, Nyamwage njia panda ya kwenda Utete,Muhoro Mpaka Somanga. Kama alivyokuambia Mkuu ALF bei inategemea uhitaji inaanzia laki 1 haizidi 4 kwa heka. Swali langu unahitaji heka ngapi? Angalizo mashamba yaliokuwa karibu na barabara kuu huwa bei za juu kidogo.
ALFYrsozigwa nakubaliana nawewe, cause nikauliza je yeye anataka kulima mazao gani? Akijibu mazao gani ndio wadau watamsaidia kulingana na eneo la hitaji husika.
Nimepokea simu kutoka kwa wadau mbalimbali nashukuru kwa siju zenu na kuonyesha nia katika kilimo, mimi nipo maeneo ya bungu njia yakwenda nyamisati, hivyo naweza kutoa msaada kwa watu wanaohitaji maeneo sehemu za Kimbendu, Mlanzi, Msumo, Hanga, Mahege na nyamwage na wakati fulani kuna mtu alikuwa anauza shamba eneo la Jaribu ila sijawasiliana muda kujua kama bado lipo.
Ila kwa ushauri nivizuri kama mnachukua maeneo, mkachukua maneo ya karibukaribu inakuwa faida sababu mnakuwa na mawasiliano ya taharifa, pia hata kuunganisha nguvu kwa kuweka maendeleo ya haraka.
Mkuu nilisema hivyo kutokana na nilivyoambiwa na mmoja wa mwenyeji wangu. So kifupi kwa ulichosema yaoneshwa na mie ningekurupuka ninheishia kupigwa piaRufiji imegawanyika ndugu kuna maeneo yenye maji namaanisha sehemu zilizo karibu na mto jambo ambalo sio rahisi sana kupata itahitaji upige kambi upate wenyeji haswa usije ukapigwa, sehemu ambazo hazina maji ni kwanzia maeneo ya jaribu kuelekea kibiti mpaka rufiji yenyewe, ukitafuta maeneo hayo itakupasa uwe nguvu kubwa maana itakubidi uchimbe kisima au ulime mazao yanayotegemea mvua kama, mananasi, muhogo na passion nk, hapo ndio maana nikauliza unataka kulima nini? Pia nilimuuliza mtu mmoja aliokuambia andaa laki 5 alafu akakuambi mbali na mji inapungua, shamba tangu lini linakuwa mjini? Maeneo kwanzia jaribu kwenda kibiti mpaka rufiji kwa mashamba haiwezi kuzidi laki 4 ikizidi hiyo itakuwa kiwanja, mimi nipo maeneo ya bungu njia yakwenda nyamisati natumia maji ya kisima na mambo yanakwenda tu, ndugu yangu nivizuri kufikiria kikubwa but kwenye utekelezaji nivizuri kuanza na kidogo.
NAKUTAKIA KILA LAKHERI.
Nnaona umesahau kuitaja na NgarambeHakuna sehemu inayoitwa Rufiji, hilo ni jina la wilaya.
Wewe unataka shamba wapi hasa? Jaribu, Bungu, Mahege, Nyamisati, Kibiti, Mkongo, Kilimani, Mloka, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbi, Muhoro, Kiwanga au Utete?