Hapo nimekuelewa ila watanzania wote tunatakiwa tubadirike, tusiangalie mafanikio tu, tuangalie na hasara na kero znazotuzunguka,
Kama umeshawahi kucheza mpira hata wamchangani utajua mpira wa kbongo unakasoro kbwa sana na tnahtaji tbadirike,asilimia kbwa tmeendekeza ushirikina, angalia mechi ya watani wa jadi, utasikia mara tmu imeenda kambi bagamoyo, uunguja, pemba, nk. Lakini zkiwa znacheza mechi za klab bingwa hayo maandalizi hayapo, unafikiri tnahitaji MZUNGU ili tubadirke? Timu bora hujiaandaa bla kjari inacheza na timu gani, hata kama ni mpzan wa jadi maandaliz hayatofautiani sana na mechi zngne, Nakbari DAR YOUNG AFRICANS is a great team never ever, but mabadiriko ya kisasa is needed,
umeona eeh...Mie sio mpenzi wa Yanga ila nimependezwa sana na picha za Yanga ya zamani ambapo wachezaji wanaonekana wana miili mikubwa na ya kifutboli kweli kweli unlike picha ya kwanza vichezaji vinaonekana vidogo utafikiri timu ya shule ya sekondari mkoa wa Rukwa...!
Mkuu hakuna shule ya sekondari yenye jina hilo i.e mkoa wa Rukwa.Mie sio mpenzi wa Yanga ila nimependezwa sana na picha za Yanga ya zamani ambapo wachezaji wanaonekana wana miili mikubwa na ya kifutboli kweli kweli unlike picha ya kwanza vichezaji vinaonekana vidogo utafikiri timu ya shule ya sekondari mkoa wa Rukwa...!
AchievementsYanga imara-bujibuji,Semenya-Yanga for life,Umeona eeh- Pape,Vidume vya mbegu- Kwayu G, Samahani kama nitakuwa nimewaudhi niliowataja hapo juu kwani haikuwa nia yangu,kwanza niseme ukweli kabisa Picha hizo ni nzuri na nikushukuru kwani umeniwezesha kupata copy ya picha za miaka ya nyuma ambazo sikuwa nazo,ila maoni yanazidi ukweli halisi wa timu zetu hasa Simba na Yanga, wanakuwa vidume vya mbegu kwa lipi hasa kwa mafanikio gani yakujivunia waliyoyapata Yanga ama hata hao wenzao wa Simba,hizo ni baadhi ya timu kongwe zisizo na mafanikio yoyote ya maana,lets be realistic jamani hii mitimu ya Yanga na Simba haina uwezo wowote zinapokwenda kwenye Klabu bingwa Africa ama Kombe la Shirikisho,hatuna cha kujivunia toka kwa hizi timu zilizojaa uswahili na ubabaishaji, si kwamba hatuna wachezaji hapana due to poor management timu hizi zitaendelea kuwa za kiswahili tu.Sitaki kusema sana ila hatuna cha kujivunia hata kimoja.
Unataka nini tena?
imara daima...Yanga imara!
sawa nadhani wewe utakuwa ni shabiki wa simba....hayo si mafanikio bwana PAPE.
Mie sio mpenzi wa Yanga ila nimependezwa sana na picha za Yanga ya zamani ambapo wachezaji wanaonekana wana miili mikubwa na ya kifutboli kweli kweli unlike picha ya kwanza vichezaji vinaonekana vidogo utafikiri timu ya shule ya sekondari mkoa wa Rukwa...!
poa asante sana, nimeweka nyongeza pale juu kwa anayetaka kujua majina yao basi atembelee thread uliyoianzisha...Hizi Yanga za siku hizi zingecheza na Yanga za zamani wangepigwa goli nyingi sana.
By the way, Pape, nimeweka maelezo ya picha zote kule Jamii Photos.