Recent content by KWAPA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Florah Lymo: How to look sexy at home

    Wazungu wamemuweka kwenye group ya mental disability, na anapata msaada kwa tatizo Hilo!! Sasa ndugu zangu tukianza mpaka watu wenye mental disability kuwaweka kwenye jukwaa la macelebrity itakuwa shughuli nzito hasaa!! Huyo ni mgonjwa wa akili!! In London watanzania wanamfahamu maarufu km Flora...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

    Wewe kweli fyatu wallah!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Miss tz mwaka 2012 huyu hapa.

    Nasikia mkubwa Lundenga alisahau Crown nyumbani!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Katavi ndani ya Mtwara....!!

    Ngwadakulima a.k.a ngwadakudig,jamani mnakumbuka woteee mbona makanyanga hamumkumbuki?au kwavile mswaki na kuoga kwake ulikuwa msamiati wa kichina?nasikia mwalim James yule wa Biology alikufaga nikweli au uzushi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Katavi ndani ya Mtwara....!!

    Dah Madam B kweli wewe wakwetu yaani hahahahaaa! Vipi mitaa ya bima hukukutisha?kukoje sasa?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Homework

    Walah kuna watu mnapenda wenzenu wale ban hivihivi! Acha tu niwe mpole!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lini Daktari Kikwete atakuja kujibu maswali,tuhuma hapa JF?

    Na hivi mnatumia I'D za kujificha,jumlisha Na mitusi mliojaaliwa plus midomo michafu km vyoo vya soko mmmh bora asije! Sijui km kuna kipya atakachokisikia zaidi ya mitusi mipya!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Basi afadhali mngekuwa mnajaribiana na hizo sex tu,sijui ndio eti mnapima kina cha maji,eti msije kuta kibamia au mguu Wa tembo yote ni sawaa!! Lakini vijana wasasa mnazidi jamani mnajazana na mimba kabisa then ndio mnatangaza ndoa Hivi Mbona mna tabia mbayaaa?? Mabiharusi wengiii siku hizi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania usiombe kudaiwa na benki!

    Alikopa kununua gari 4*4 Ili aonekana Wa Maana mjini!! Yanakutokea makalioni sasa Kudadadeki!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania majina ya wanao ama wanao watarajiwa

    Nakumbuka mtoto wangu wakwanza almanusura anisababishie talaka,mume aling'ang'ania mtoto lazima aitwe MKEGANI ugomvi wake baada ya hapo Mungu ndio anajua,ila ndio hivyo tena mtoto mpaka Leo anaitwa MKEGANI
  11. K

    JamiiForums Tanzania home work...

    Ligula Mnarani Magodaa Makaburi nsafa Naliendele Mtwara mjini hiyooo!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni........

    Ni ujinga mtu mzima kujamba mbele za watu Na ukijua wazi jana usiku ulikula miharage! Next time sogea pembeni maliza shughuli yako,inakeraaaa Kwakweli!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku yako ya kwanza ugenini?

    Hahahahaaaa Alafu unakuta choo Na bafu viko tofauti Alafu haja imekushika sio mda Wa kuoga Kudadadeki lazima akili ikae sawa! Ingekuwa bafu Na choo viko pamoja ungepiga kanyaboya labda unaenda kuoga then unafanya double job! Then imagine ile Unatoka tu kukata gogo Na mwenyeji wako anaingia Alafu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania happy Chupi day!

    Nimevaa ya kijani kwa nyuma Ina picha kubwaaa ya Rais Wa Nchi yangu!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti tukio unalolishuhudia sasa

    Niko namuangalia new celebrity Yule aliyerestisha watu in peace kwenye movie theatre last week!! Jamaa Yuko hoi anasinzia mahakamani Sasa najiuliza hawajampa hata nafasi ya kulala au ndio swaga zake tu! Ila Nimependa style yake ya nywele!!
Back
Top Bottom