Unakumbuka nini siku yako ya kwanza ugenini?

Ntaramuka

Senior Member
May 2, 2008
169
27
Siku ya kwanza ugenini huwa ngumu sana kwa watu wengi. Ukiwa mgeni unajitahidi angalau uendane na wenyeji wako, usionekane wa tofauti sana, wa ajabu nk. Siku ya kwanza kwenda Zanzibar, katika kujaribu kuendana na utamaduni wao, niliwakuta wafanyakazi wenzangu (wazanzibari) wanapiga story nikawasalimia hivi "WALAYKUM SLAM!" badala ya "ASALAM ALAYKUM!" nilikuwa cjaizoea hii salam kwan mm c muislam, walicheka!
 
Siku ya kwanza ugenini ninachokumbuka ni kuwa nilitapika chumbani kwa wa2 ucku, yani nilishiba mpaka 2mbo likawa lauma.
 
siku ya kwanza, mtihani ni kwenda chooni kunya halafu choo kimo ndani ya nyumba, dah mtihani mkubwa
 
siku ya kwanza, mtihani ni kwenda chooni kunya halafu choo kimo ndani ya nyumba, dah mtihani mkubwa

Hahahahaaaa Alafu unakuta choo Na bafu viko tofauti Alafu haja imekushika sio mda Wa kuoga Kudadadeki lazima akili ikae sawa! Ingekuwa bafu Na choo viko pamoja ungepiga kanyaboya labda unaenda kuoga then unafanya double job! Then imagine ile Unatoka tu kukata gogo Na mwenyeji wako anaingia Alafu anatoka faster bila kuelewa sababu ya msingi ilomfanya atoke Hahahahaaa!! Naimagine vyote nakauka kucheka walah!!
 
Back
Top Bottom