Recent content by Kwanza TV

  1. Kwanza TV

    Ripoti Kamili kuhusu kesi ya Abdul Nondo

    RIPOTI KAMILI: Fahamu yote yanayohusu kesi ya Abdul Nondo, Kiongozi wa Wanafunzi anayetuhumiwa kujiteka. Fungua [emoji116][emoji116]
  2. Kwanza TV

    Mahojiano na Wakili Alex Massaba kuhusu wananchi walioshikiliwa na Polisi wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi

    EXCLUSIVE: Mahojiano maalum na mwanasheria Alex Massaba anayewatetea wananchi waliokamatwa katika vurugu za uchaguzi mdogo tarehe 16 Februari. Aeleza kuwa watu watatu wako wanaendelea kushikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay wakiwa na majeraha ya risasi. Pia ameeleza kuwa jinsi wateja wake...
  3. Kwanza TV

    Kubenea: Kweli kwa ulaji kama huu ni rahisi mtu kuachia ubunge? Yaani kirahisi rahisi tu?

    Leo mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea alikuwa na mkutano na waandishi wa habari na ameeleza kuwa hana mpango wa kukihama chama chake cha Chadema na kwamba hana bei bali kinachoendelea ni propaganda za CCM ili wasiulizwe maswali magumu. Katika kujenga hoja, Kubenea ameainisha mapato ya...
  4. Kwanza TV

    TAHADHARI Video ina picha za kuogofya: Tumsaidie Mtoto Grace aliye na tatizo la ugonjwa wa saratani inayokula ngozi

    Mtoto Grace amezaliwa na ugonjwa huu na ameugua saratani hii ya ngozi tokea ana miezi miwili. Hivi sasa ametengwa na sehemu ya familia na mama yake mzazi ndiyo anampigania mwanae ambaye ana ugonjwa huu wa saratani ya ngozi ambayo imeshaathiri sehemu kubwa ya mwili wake ikiwemo uso wake. Zaidi...
  5. Kwanza TV

    BAADA YA SEDUCE ME ALIKIBA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA

    Baada ya kutamba na kibao chake kipya 'Seduce Me', msanii AliKiba alipata fursa ya kubadilishana machache na Kwanza TV. Mahojiano kamili iko hapa: Kwanza TV - itaendelea kukuletea mahojiano mengine mengi exclusive.
  6. Kwanza TV

    Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Mkuu tumeshapeleka maombi Tanroads lakini hatujapewa jibu mpaka sasa. Tunashukuru kwa kuuliza hili. Tukipata jibu tutaliweka hadharani, usiwe na shaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kwanza TV

    Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Video hii hapa: Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kwanza TV

    Kulikoni Kimara Suka na bomoa bomoa?

    UPDATE: Tulitaka kujua kutoka Waziri wa Ardhi William Lukuvi kama wananchi wanabomolewa wana hati miliki halali inayotambuliwa na Wizara yake, basi inakuwa vipi leo wanabomolewa bila fidia na kuitwa wavamizi? Lakini Waziri alikataa kuongelea hili suala la Bomoabomoa bila kusikiliza swali
  9. Kwanza TV

    Kulikoni Kimara Suka na bomoa bomoa?

    Ilikuwa ni simanzi na vilio kwa wakazi wa Kimara Suka wiki iliyopita baada ya baadhi ya nyumba kubomolewa na watu wanaodaiwa kutoka TANROADS. Wakazi tuliowahoji walionyesha kusononeka na pia kukata tamaa huku wengi wakikiri hawana pa kwenda na wamelazimika kulala nje na familia zao. Kwa mujibu...
  10. Kwanza TV

    Makala maalum kuhusu Bomoabomoa ya Kimara

    Kwanza TV inawaletea makala maalum na tunaendelea kufuatilia kesi hii. RIPOTI MAALUM: Wananchi wadai TANROADS iliwapa notisi ya siku 30 wabomoe nyumba zao kwa mikono yao wenyewe, wakishindwa watafikishwa mahakamani. Wananchi waamua kuishtaki Serikali Mahakama ya Ardhi. Vikongwe waongea ya...
  11. Kwanza TV

    Nawashangaa wanaonihusisha mimi binafsi na Sheria ya Makosa ya Mtandao - January Makamba

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mh. January Makamba katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuhusu uamuzi wake wa 'kupotea' kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu, 2015. Pia asema katika vitu vinavyomshangaza ni kuendelea kuhusishwa yeye...
  12. Kwanza TV

    Makamba: Zaidi ya ekari 2500 zinateketea kila siku

    January Makamba aeleza kuwa hatutaushinda umasikini kama kasi ya uharibifu mazingira itaendelea. Maendeleo na utunzaji wa mazingira yanaendana pamoja.
  13. Kwanza TV

    Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?

    KWANZA TV TUMEULIZA: Kwa kurejea ripoti ya tume iliyoshughulikia sakata la mchanga na kukabidhiwa Rais Magufuli, je, CCM inakiri kuwa ndiyo iliyotuangusha kama Taifa kwa kutuingiza kwenye mikataba mibovu ya madini? Humphrey Polepole kajibu hivi:
  14. Kwanza TV

    Mabadiliko ya kiuchumi yameathiri utoaji na ukusanyaji mikopo ya benki - Lawrence Mafuru

    Nini kiliikumba FBME mpaka ikafutiwa leseni? - Lawrence Mafuru aeleza Kuhusu FBME na kufutiwa leseni kama ilivyoelezwa na Lawrence Mafuru
Back
Top Bottom