Mahojiano na Wakili Alex Massaba kuhusu wananchi walioshikiliwa na Polisi wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
EXCLUSIVE:
Mahojiano maalum na mwanasheria Alex Massaba anayewatetea wananchi waliokamatwa katika vurugu za uchaguzi mdogo tarehe 16 Februari.

Aeleza kuwa watu watatu wako wanaendelea kushikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay wakiwa na majeraha ya risasi. Pia ameeleza kuwa jinsi wateja wake walioshikiliwa na polisi wanauguza majeraha huku wakili huyu akidai kuwa hawajapata matibabu ya maana mpaka sasa.

Mwakili amesisitiza kuwa wasipopelekwa mahakamani jumatatu watafungua kesi mahakama kuu (Habeas Corpus) dhidi ya Polisi na Serikali


HEBU MSIKILIZE:
[HASHTAG]#KwanzaHabari[/HASHTAG]


 
yn hao wenye madonda na hawajatibiwa

.wajiandae kupata tetenus au infection zingine....
 
yule mpemba salum mwalimu wala hana habari. Napendeleza polepole aende kuwajulia hali na tufanye mchango haraka wapewe zamana
 
Katika maisha yangu yote sijawahi kushikwa Na chuki kisasi Na maumivu makali kuliko utawala huu.

Yani I feel suicidal. Bora kufa kuliko kuishi kwenye dunia moja Na Sizonje Na genge lake lisilozidi watu 500 ambao wanaiba Hadi rambirambi
 
Katika maisha yangu yote sijawahi kushikwa Na chuki kisasi Na maumivu makali kuliko utawala huu.

Yani I feel suicidal. Bora kufa kuliko kuishi kwenye dunia moja Na Sizonje Na genge lake lisilozidi watu 500 ambao wanaiba Hadi rambirambi
Shimbonyi nashisha mkuu!
 
Walitaka wafie huko ili dunia iamini kwamba ilifwatuliwa risasi moja tu tena wanayotaka kuikana kwamba sio yao
 
Back
Top Bottom