Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
KWANZA TV TUMEULIZA:
Kwa kurejea ripoti ya tume iliyoshughulikia sakata la mchanga na kukabidhiwa Rais Magufuli, je, CCM inakiri kuwa ndiyo iliyotuangusha kama Taifa kwa kutuingiza kwenye mikataba mibovu ya madini?
Humphrey Polepole kajibu hivi:

 
KWANZA TV TUMEULIZA:
Kwa kurejea ripoti ya tume iliyoshughulikia sakata la mchanga na kukabidhiwa Rais Magufuli, je, CCM inakiri kuwa ndiyo iliyotuangusha kama Taifa kwa kutuingiza kwenye mikataba mibovu ya madini?
Humphrey Polepole kajibu hivi:

CCM wameharibu, halafu vinara wa uharibifu wakimaliza kazi wanapewa hifadhi CHADEMA! Sumaye alikuwa Waziri Mkuu na kiongozi wa serikali bungeni wakati sheria ya kinyonyaji ikipitishwa, na kwa miaka 10 alitulia kwenye kiyoyozi wakati mchanga unasafirishwa.

Mkataba wa mwanzo uliondelezwa kipindi cha JK na Lowassa alikuwa Waziri Mkuu, leo hii yuko CHADEMA anapigania 'demokrasia'?

Mwisho, unaweza kusema usiku wa kusaign mkataba wa Buzwagi Karamagi aliongozana na nani? Tafuta jibu ndio utajua kwanini Lissu anapiga siasa kwenye hii saga ya mchanga. Na bado atapata shida na hivyo vipande 30.
 
Akili ndogo hawawezi kumwelewa Polepole maana waandishi kanjanja wa Tz wote elimu feki
 
Back
Top Bottom