Recent content by kuwota

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Nime note mambo kadhaa. 1. Amekusaliti. 2. Ametoa mimba(muuaji huyo!). 3. Amekudharau sana. 4. Hajakiri kosa. HITIMISHO.. Hakufai, kuacha au kutokumuacha ni suala jingine. Pole ndg
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dalili kwamba umenenepa

    Kutokula mchana hakutokusaidia endapo unapokula huzingatii chakula ulacho
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

    Shoka la utozi baba
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hatua katika uandaaji wa andiko la mradi (Project Proposal)

    Asante sana The consult,nimekupata vizuri,samahani Nami naweza kupata sample ya andiko la mradi?nimekuwa nikifikiria sana namna ya kuandika andiko la mradi
  5. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA UANDISHI WA GRANT PROPOSAL.

    Wadau Habari za muda huu, mimi ni graduates wa chuo na ni Mwl wa Sekondari katika wilaya moja hapa Tanzania. Nimekuwa interested kutatua matatizo ya jamii inayonizunguka kuliko kuendelea kuisubiri serikali pekee lkn pia kutumia ujuzi kiasi nilionao katika uandishi wa grant proposal kutafuta...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Ataenda wapi ndg yangu?wanawake wengi ndio tabia hizo siku hizi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Kwanini ushindwe kutoa taarifa mkuu?Mimi mwanamkke wangu alicheet na akakiri kosa.niliyafikisha kwao na nipo nae.siku nikiona bado anavidalili tuu vya kuendelea na tabia hiyo hata nisipohakikisha anaondoka mazima.simuheshimu tena kama mwanzo..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

    Duuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

    Nashukuru mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

    Hahaha mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

    Ujumbe umepenya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

    Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza. Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini, mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana, wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu, japo mume sikuwa nae karibu zaidi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Walimu wasijiingize katika masuala ya michango bali wajikite na taaluma

    Ni kuchanga pamoja na kuchangishwa pia.wasijisahau wakarudi kuwachangisha walimu ktk masuala mbalimbali kama vile ujenzi wa zahanati na vituo vya afya
  14. K

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafanya uhakiki wa walimu

    Duuu unabeef wewe.alafu inaonekana wewe ndio wale waliofaulu kidato cha nne na kupewa sifa nyingi alafu ukabuma form six
Back
Top Bottom