Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

Tulia na mkeo nyumbani acha kuwa Baba huruma, isitoshe hujui Mume wake alifariki kwa ugonjwa gani.
 
Mkuu wewe unamke tupe namba yake sisi ili asije kwenda kimboka bure
 
Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.
Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini.mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana,wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu,japo mume sikuwa nae Karibu zaidi ya tuu ni baba mwenye nyumba wangu,ila mkewe alikuwa mkarimu sana kwangu.imepita miaka kadhaa tangu nihame pale nakuja kutana na huyo dada,ananipa taarifa mumewe alifariki na ndugu wa mume walimfukuza kutoka katika nyumba hiyo kwani kumbe ilikuwa ni ya urithi. Tumekuwa na mawasiliano ya Karibu ya simu kama mtu na shemejie.wakuu tatizo huyu bibie anataka nimpe raha, huku akijua fika sitamuoa kwani nina familia. Nipo njia panda nimle au nimpotezee?je nikimla afu nikamuacha nitakuwa nimemsaidia kumpunguzia ukame au nitamuumiza?
Ushauri tafadhali
Huyo akaolewe mkuu.
Heshimi sana familia yako na epuka dhambi ya uzinzi... Aziniye na mwanamke hana akili kabisa by bible.
 
Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.
Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini.mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana,wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu,japo mume sikuwa nae Karibu zaidi ya tuu ni baba mwenye nyumba wangu,ila mkewe alikuwa mkarimu sana kwangu.imepita miaka kadhaa tangu nihame pale nakuja kutana na huyo dada,ananipa taarifa mumewe alifariki na ndugu wa mume walimfukuza kutoka katika nyumba hiyo kwani kumbe ilikuwa ni ya urithi. Tumekuwa na mawasiliano ya Karibu ya simu kama mtu na shemejie.wakuu tatizo huyu bibie anataka nimpe raha, huku akijua fika sitamuoa kwani nina familia. Nipo njia panda nimle au nimpotezee?je nikimla afu nikamuacha nitakuwa nimemsaidia kumpunguzia ukame au nitamuumiza?
Ushauri tafadhali
Kama hataki nipe mie
 
Acha ufisi
Heshimu ndoa yako na watoto wako
Usije kutulilia hapa eti mkeo kakuacha sijui haeleweki
 
Back
Top Bottom