TAMISEMI yafanya uhakiki wa walimu

TAMISEMI yafanya uhakiki wa walimu

kwa maoni yangu naona ni sawa kwa kiasi fulani tukiachana na habari za ajira mpya. Mwalimu mwenye shahada ya uzamili kuendelea kufundisha shule ya msingi ni kumdhalilisha. waende hatua ya juu zaidi wakafundishe Secondari.
Serikali ikubali tuu haina hela,zile billion 200 ninazoweza kuzitoa hata sasa hivi ziko wapi..??
 
Tatizo wanaweza wapandisha na kuwapeleka secondary lkn malipo yao yakawa ni yaleyale.

Kuna shemeji yangu ana shahada ya uzamili huu ni mwaka wa tatu sasa anafundisha primary school na mshahara ni uleule wa diploma.
Mishahara ya serikali kwa kada nyingi inalipwa kulingana na elimu yako na kuwa wapi. Mwalimu mwenye degree awe sekondari au primary mshahara unafanana. Huyo mwenye uzamili halafu anaendelea kulipwa mshahara wa diploma ana matatizo yake binafsi. Ama alisoma degree tofauti na ualimu au alienda kusoma kiwa alishavuka dajara D la mshahara hivyo anaona nongwa kurudi kwenye D tena akipeleka cheti cha Degree. Pia kuwa na Masters hakukuhamishi daraja la mshahara. Shahada ya uzamili n si hitaji la kuingilia katika ajira. ni kwa faida ya mtu binafsi hasa linapotokea nafasi za uteuzi/uongozi kama inahitajika.
 
Mkuu kwa kuwa sijui wewe ni nani..??ningekuwekea details za huyo Dada humu uone na hicho unachokitetea kikoje.

Alishapeleka malalamiko yake mwajiri wake yani DED lkn hakuna kilichotokea cha tofauti,sasa hivi anampango wa kuachana na ajira ya Tamisemi aeleke private sector ambapo wanamuhitaji kwa mshahara zaidi ya mara tatu ya Tamisemi.

Kama wewe ni msemaji wa serikali njoo PM ujitambulishe nikupe details za huyo Dada.
 
ni kweli. wengi wao vichwani wapo empty sana pamoja na kuwa wana Masters. si unajua shule zao wengi ni za kuunga unga kuanzia QT, Grade A, Diploma, then Bachelor na Masters za Open na akina Eckernforde University na wengine wanaofanana na hao.
Duuu unabeef wewe.alafu inaonekana wewe ndio wale waliofaulu kidato cha nne na kupewa sifa nyingi alafu ukabuma form six
 
Mkuu kwa kuwa sijui wewe ni nani..??ningekuwekea details za huyo Dada humu uone na hicho unachokitetea kikoje.

Alishapeleka malalamiko yake mwajiri wake yani DED lkn hakuna kilichotokea cha tofauti,sasa hivi anampango wa kuachana na ajira ya Tamisemi aeleke private sector ambapo wanamuhitaji kwa mshahara zaidi ya mara tatu ya Tamisemi.

Kama wewe ni msemaji wa serikali njoo PM ujitambulishe nikupe details za huyo Dada.

Mimi siyo msemaji wa serikali, ila mtumishi wa serikali wa muda mrefu tu. Walimu huwa wana matatizo kidogo na mara nyingi wanasoma kwa sifa bila kuangalia anaenda kusoma ili iweje. Wengi wanaenda kusoma akiwa tayari ameshavuka daraja D la mshahara bado akiwa Mwalimu Msaidizi (Assistant Teacher zamani wanawaita Assistanta Education Officer) akiwa mwalimu wa Diploma. Ili kuwa mwalimu kamili (Teacher zamani wanaitwa Education Officer) anatakiwa kuwa degree. sasa unakuta anapata degree yake ma mshahara ulishaenda daraja E. Akitaka kuwa na Cheop cha Teacher (Education Officer) anatakiwa kurudi katika cheo cha kuingilia ambacho ni daraja D la mshahara. hapo ndo huwa panaleta shida, yaani kurudi nyuma katika ngazi ya mshahara. Masters ni masifa tu, haiwezi kukuhamisha daraja la mshahara ispokuwa inakupandisha ngazi tatu mfano kama ulikuwa D1 inakupeleka D3.
 
Duuu unabeef wewe.alafu inaonekana wewe ndio wale waliofaulu kidato cha nne na kupewa sifa nyingi alafu ukabuma form six
Mimi siyo Mwalimu. ukweli ndo huo. walimu wengi wa primary (siyo wote) uwezo wao mdogo hata akiwa na PhD. ukiangalia hata vyuo wanvyosomea shahada zao utagundua kitu. wengi wanasomea katika vile vyuo ambavyo Mhe magu anasema viacheni vijifie.
 
Back
Top Bottom