Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

Heshimu ndoa yako bwana kaka,starehe unae taka kuifanya ni ya muda mfupi lakini inaweza kukugharimu maisha yako yote
 
Mkuu kwa ulichoaandika nahisi njaa imepanda mpaka kichwani kama si njaa basi unaendesha na kichwa cha chini

Jitafakari kabla hujaamua
 
Mumewe aliaga dunia kwa tatizo gani?

Mtakufaaa, endekezeni tu tamaa. Unapenda raha kuliko furaha
 
Mpe we mpeeeee mpe tu we mpeee tu mpeeeee adi uridhikike sawa ee
 
Mkuu umeshawahi kuambiwa maneno haya na yule umpendaye

"mini na wewe baaasi... "

unaweza kutafuta shati ndani ya friji......

ngojea mkeo ajue
 
heshima yako ni bora kuliko hisia zako. Usifanye jambo hilo. Mpe ushauri wa kumudu maisha bila mme na kujiingiza katika mambo ya wanaume halitakuwa suruhisho la matatizo yake.
 
Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.
Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini.mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana,wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu,japo mume sikuwa nae Karibu zaidi ya tuu ni baba mwenye nyumba wangu,ila mkewe alikuwa mkarimu sana kwangu.imepita miaka kadhaa tangu nihame pale nakuja kutana na huyo dada,ananipa taarifa mumewe alifariki na ndugu wa mume walimfukuza kutoka katika nyumba hiyo kwani kumbe ilikuwa ni ya urithi. Tumekuwa na mawasiliano ya Karibu ya simu kama mtu na shemejie.wakuu tatizo huyu bibie anataka nimpe raha, huku akijua fika sitamuoa kwani nina familia. Nipo njia panda nimle au nimpotezee?je nikimla afu nikamuacha nitakuwa nimemsaidia kumpunguzia ukame au nitamuumiza?
Ushauri tafadhali
Wewe ni mwanaume? Jando ulipita?
 
Usimle. Wacha amle yule ambae atakuwa tayari kumuoa. Asante kwa kutushirikisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom