Recent content by KUSHOKA

  1. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kitu cha ajabu leo, kimenishtua mimi na nilio kuwa nao

    Kuna babu #Nyakanazi yupo vizuri mpaka kesho.... mtembelee
  2. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Makinika! Sio kila changu ni binadamu

    Mstaafu mstaarabu kabisa
  3. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hamkujipanga?

    Mi niliona miyeyusho nikaachana nao
  4. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Ukisikia jini kisirani limekudondokea ndo hii sasa
  5. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

    Ajari za moto kama huu zitaishia kuchukuliwa kama ajali zingine tu.... tujitathimini
  6. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kikwete mweledi pekee mchakato wa Katiba

    Hili andiko ukilileta hapa Leo unaliona ukakasi wake
  7. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania TBC imemuita nani hamnazo?

    Mambo ya mwendazake yanaendelezwa huku
  8. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

    Karibu nyumbani kumenoga
  9. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai bado una nafasi ya kutubu na kujirudi

    Mzee wetu huyu kakengeuka pakubwa sana... sema wakati utamhukumu tu maana muda ndiye hakimu wa haki na asiyevunja agano lake.
  10. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mazoezi. Vyakula lakini vyema uonane na wataalamu wa afya usikimbilie kutumia vumbi la Kongo la dawa zingine zinazofanana na hizo
  11. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mamlaka husika zihusike kikamilifu.. asubuhi Mr Allan Kijazi anahojiwa na Azam TV wala haoneshi kushitushwa na hali inayoendelea... wajitolee na wakawajibike
  12. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Kijana unayeanza maisha usinunue pikipiki kama usafiri wako, utaondoka mapema

    Uko sahihi.... pikipiki zinatupumbaza sana
  13. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Mtihani huu wa kimapenzi umenishinda kuujibu nawaomba wabobezi wa Mapenzi mnisaidie kuujibu ili 'niufaulu' vyema sana

    Kama bado unampenda usimuache maana wewe ndo utaumia
  14. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

    Wacha wapumzike kisela na si mbaya wakikulana maana wote wakubwa hao
  15. KUSHOKA

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Ongezea na wahudumu wa gesti ama lodge na zaidi hotel
Back
Top Bottom