Recent content by Kurutu wa Mungu

  1. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Ni ujuzi Gani ulijifunza mwenyewe/ulifunzwa Muda mfupi ukakupa urahisi wa maisha kuliko Elimu uliyosoma Muda mrefu

    Kujifunza ufugaji wa samaki na utotoleshaji wa vifaranga nilijifunza mtandaoni kisha nikaenda Ruvu fish kujitolea kwa mwezi mmoja
  2. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

    Sure
  3. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

    Watu wanaompenda JPM wengi wao wako vijijini na wale walioko mjini wengi wao shule haikukaa vizuri kichwani na ndiyo wamejazana facebook kupost Majungu, na ujinga ujinga
  4. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

    Duuuh Afisa Kipenyo
  5. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

    Wewe naye wawapi siyo wagita ni wajita
  6. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kusafirisha mizigo Arusha

    Msaada kwa anayejua kampuni nzuri ya basi Dar to Arusha, inayosafirisha mizigo kwa usalama na kwa muda sahihi, na ofisi zao zinapopatikana, nina mzigo kama kilo 10 unahitajika haraka sana ufike Arusha
  7. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Nembo ya WHO ni tatanishi?

    Huo ni uongo mtupu ndugu yangu nyoka akimuua mwenzake anamla nimesha shuhudia live hii kitu, nikiwa kijijini nachunga ng'ombe
  8. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

    Kwa taarifa yako huyo hill water ameshika kuanzia Bagamoyo hadi Tegeta ukienda huko Mbagala, gongo la Mboto, Chanika watu hawajui kama kuna maji yanaitwa hill ata mm niliyajua baada ya kukaa Bunju kama mwezi mmoja hivi
  9. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Kuuza bidhaa katikati ya barabara si busara

    Siyo Mwanza tu hiyo ni kwa Tanganyika yote
  10. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Singida

    Kujitolea haina malipo
  11. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Singida

    Yaani kazi ya mochwari nikajitolee
  13. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Nimeingia Mwanza leo naambiwa hakuna tajiri kama Kitana

    Huyo ni washinyanga
  14. Kurutu wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nimekumbuka msange Tabora OP Kikwete 2015, E coy chini ya OC Jomo, na Sir major Mudo, kuna siku tulikuwa tunapanga tanuru ile tunamaliza akapita luteni mmoja hivi jina limenitoka akatwambia hilo eneo tulilo panga Tanuri hapatakiwi kuchomea hapo tofari kwahiyo tupangue tuhamishe tofari na tupange...
Back
Top Bottom