Sasa ni dhahiri hali ya shirika la elimu Kibaha ni mbaya sana hasa kiuchumi...licha ya kwamba taasisi hii imeshindwa kujiendesha yenyewe kama shirika la umma kwa muda mrefu lakini sasa hali imezidi kuwa tete kufatia DAWASCO kukata maji na sasa ni takribani wiki mbili shirika halina maji...
Katika halmashauri ya mji wa Kibaha walimu waliosimamia mtihani wa taifa wa kidato cha pili mwaka huu licha ya kumaliza kazi hiyo tangu jana bado hawajui lini watalipwa nusu ya posho yao ya kazi hiyo..
Hadi sasa wamelipwa nusu ya posho...Malipo waliyoambiwa ni shilingi elfu 30 kwa siku...
Shahada yangu ni ya Elimu katika elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii...kwahiyo hata vyuo au taasisi ambazo zinafundisha watu wazima ambao tayri wapo nje ya mfumo wa kawaida wa shule naweza kufanya kazi
Wadau wa jf
Mimi ni mwalimu mwenye uzoefu wa miaka sita katika kufundisha shule za binafsi kwa upande wa sekondari na primary...Nina stashahada ya elimu lakini pia na shahada ya elimu..
Baada ya kutoka stashahada nilifundisha sekondari na baada ya miaka miwili nilienda kusoma shahada na baada ya...
Kwa walimu wa serikali kuna idara inaitwa TSD...ina deal na nidhamu ya walimu kazini...
Sasa imagime mwalimu aliondoka kazini bila ruhusa na akiwa hayupo akafutwa payroll..
TSD wakamfungulia kesi ya utoro kazini lakini wakati huo hup huyo mwalimu akawa ameomba kazi sehemu nyingine na ni taasisi...
You are totally wrong....ni wapi mleta mada anasema ni mwalimu mwenzake?
Hicho kipengere ulichoquote hakijamaanisha hilo bali inaonekana mwandishi anamjua huyu mtu tangu miaka hiyo...
Mkuu huyu kwa jina Paschal Rutashoborwa alihamishiwa shule hii ya sekondari iliyopo eneo la Ibwera Bukoba vijijini kutoka Kyamulaile sekondari mwaka 2014.
Mambo anayofanya sio sahihi kabisa...
Anaendesha shule bila bodi ya shule kwa muda mrefu sasa.
Anatamba kwa wanafunzi kuwa yeye kasomea...
Naomba anayejua vetting ya utumishi kwa watu walioacha kazi serikalini na kuhitaji kurudi tena inachukua muda gani?
Kuna jamaa yangu alikimbia halmashauri fulani na bdae kapata kazi kwenye shirika la umma lakini system ikambaini na akaomba Utumishi ili arejeshwe kazini na kuhamishwa.
Ameomba...
Huyu mama Rwakatare vipi maana wizi wa umeme yeye, kudhurumu wajane mali zao yeye, kuwauzia elimu feki watanzania yeye, etc.
Ila safi maana kwa njia nyingine chama kinapoteza kura kupitia watu kama hawa.eti na huyu ni jembe la ccm?
Pia kuna tetesi anamuandaa mtoto wake aitwaye Tibe Rwakatare...
Wana jf hamjambo?
Siku si nyingi hapa janvini ilikuwepo thread inayomuhusu huyu mchungaji na mwanasiasa anayemiliki kanisa la Mikocheni B assemblies of God juu ya kuwadhurumu walimu haki zao ikiwemo mishahara.
Walimu hao leo wameadhimia kumburuza kunako tume ya usuluhishi wa migogoro kazini...
Afisa elimu idara ya sekondari halmashauri ya Bukoba vijijini bwana Cleophace Mzungu ni tatzo kwa idara naweza kuthibitisha.
Katika idara hii huyu bwana kwanza amekuwa ni VASCO DAGAMA,kwa wiki ofisini anaweza akaonekana siku mbili au tatu za kazi.
Katika idara hii kama ilivyo kawaida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.