Vetting ya Utumishi

KURA ZA SIRI

Member
Oct 3, 2014
18
3
Naomba anayejua vetting ya utumishi kwa watu walioacha kazi serikalini na kuhitaji kurudi tena inachukua muda gani?

Kuna jamaa yangu alikimbia halmashauri fulani na bdae kapata kazi kwenye shirika la umma lakini system ikambaini na akaomba Utumishi ili arejeshwe kazini na kuhamishwa.
Ameomba tangu Mwezi wa tano na July vetting ilifanyika kule alikokuwa Mbinga na juzi aliitwa yeye akahojiwa na kujaza fomu zao.
Tatizo utumishi ukienda hawakupi maelezo yoyote zaidi ya subiri.
Lakini anakiri utumishi wanafanya kazi nzuri ingawa kwa process za serikali unasubiri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom