KURA ZA SIRI
Member
- Oct 3, 2014
- 18
- 3
Afisa elimu idara ya sekondari halmashauri ya Bukoba vijijini bwana Cleophace Mzungu ni tatzo kwa idara naweza kuthibitisha.
Katika idara hii huyu bwana kwanza amekuwa ni VASCO DAGAMA,kwa wiki ofisini anaweza akaonekana siku mbili au tatu za kazi.
Katika idara hii kama ilivyo kawaida ya walimu wengi kuondolewa payroll hasa kwa tatizo la utoro wa kwenda masomoni bila ruhusa.Mara nyingi mwalimu anaporudi huwa anafata taratibu na kurudi payroll lakini kwa urasmu wa afsa elimu huyu hyo inachukua sio chini ya mwaka au zaidi.Licha ya idara ya tsd kumaliza kesi nyingi kwa wakati afsa elimu huyu amekuwa kikwazo cha mawasiliano kati yake na afsa utumishi bwana Egidius ambaye naye aliletwa pale kutoka halmashauri ya Misenyi lakini ujio wake ni kama demotion maana ni kaimu.
Afisa elimu huyu licha ya siku hizi taratibu za walimu kuhama kwa kubadilishana halmashauri ila kwa idara ya sekondari Bukoba vijijini hii inachukua sio chini ya miezi sita tangu mwalimu aandike barua hadi aruhusiwe kwa kupitishiwa barua zake halmashauri.
Afsa elimu huyu pia ana tabia ya kuletewa mafaili ya watumishi ambayo yanahitaji maamuzi ya mkurugenzi lakini ofisini kwake yakakaa hata wiki mbili bila kupitishwa.
Kupitia uzi huu tunamtaka ajirekebishe mara moja na afanye kazi kwa mujibu wa taratibu husika.
Lakini wengi wa walimu wanaoondolewa payroll au kufungiwa mishahara,mafaili yao hayana hata nyaraka yoyote ya kuonesha maybe taarifa ya utoro,kikao cha tsd cha kuamua hayo,n.k.