Maafisa utumishi nisaidie

KURA ZA SIRI

Member
Oct 3, 2014
18
3
Kwa walimu wa serikali kuna idara inaitwa TSD...ina deal na nidhamu ya walimu kazini...
Sasa imagime mwalimu aliondoka kazini bila ruhusa na akiwa hayupo akafutwa payroll..
TSD wakamfungulia kesi ya utoro kazini lakini wakati huo hup huyo mwalimu akawa ameomba kazi sehemu nyingine na ni taasisi ya umma na akapata kazi.
Lakini system inagoma kumuaccept kisa tayari ana cheki namba.
Huyu mwalimu anaamua kuomba kibali maalum kwa katibu mkuu utumishi na baada ya muda kibali kinatoka kuwa aajiliwe katika kazi ilw ya pili na aendelee kutumia cheki namba ya zamani.
Lakini kumbuka huko nyuma alivyotoroka kazi ya kwanza TSD walimfungulia kesi ya utoro na kabla haijafungwa kibali cha katibu mkuu kumruhusu aajiliwe upya kinatoka.
Sasa je kwa kuwa TSD ni idara chini ya ofisi ya katibu mkuu utumishi...je kikishatoka kibali hiki cha boss wap ile kesi ya tsd dhidi ya huyu mwalimu ina uhalali wa kuendelea?
 
Back
Top Bottom