KURA ZA SIRI
Member
- Oct 3, 2014
- 18
- 3
Katika halmashauri ya mji wa Kibaha walimu waliosimamia mtihani wa taifa wa kidato cha pili mwaka huu licha ya kumaliza kazi hiyo tangu jana bado hawajui lini watalipwa nusu ya posho yao ya kazi hiyo..
Hadi sasa wamelipwa nusu ya posho...Malipo waliyoambiwa ni shilingi elfu 30 kwa siku kulingana na siku za kazi za kila kituo..lakini wiki jana jumanne walilipwa kila mmoja nusu ya posho kwa siku za kazi za kituo anachosimamia..
Walimu hawa wanajiuliza...mbona halmashauri nyingine tayari zimelipa wasimamizi wake??
Kwani hela hii si imetoka yote serikalini??
Hiyo ndo Kibaha mji..