Recent content by Kupyatila

  1. K

    JamiiForums Tanzania Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Habari na hoja MCHANGANYIKO! Unaelewa nini maana ya neno MCHANGANYIKO hapo?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

    Shughuli zako unafanyia wapi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya ofisi ya CAG kupunguzwa kwa asilimia 50, nini maana yake?

    Good observation Good observation, watu nadhani hawajasoma vizuri
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata wanunuzi na wauzaji mazao

    Ok mkuu thanks, nitaanzia hapo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata wanunuzi na wauzaji mazao

    Nipo Dar, kifupi nahitaji mazao ya aina tofauti kununua/kuuza DUNIANI. Niliambiwa kuna link inayowaunganiasha watu wa aina hiyo japo aliyeniambia aliisahau.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata wanunuzi na wauzaji mazao

    Naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu link/website inayowaunganisha wanunuzi na wauzaji wa mazao ya kilimo duniani. Nawasilisha.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Dar: Mwalimu St. Florence abainika kugeuza watoto kuwa wake zake, wazazi waja juu

    Eti trafick akichukua rushwa wewe unabaka vitoto!! Unalipiza, khaa. Kweli tunatofautiana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Dar: Mwalimu St. Florence abainika kugeuza watoto kuwa wake zake, wazazi waja juu

    Yaani ndo uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo!! Kwa hiyo kosa moja linahalalisha kosa jingine??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnajionaje?

    You may have mental slavery, be careful
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnajionaje?

    Una maanisha nini hapo unaposema Mtanzania ashikiwe bango kupata visa??? Fafanua vizuri jamii ikuelewe. Yaani una passport ya Tanzania unanyimwa visa kivip??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni mpira wa Magazetini

    Tunasubiri zamu ya Simba kesho.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    Hoja dhaifu sana hii!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania PICHA/FLYOVERS; MAGUFULI OYEEE!!! CCM OYEEE!!!

    Sehemu gani ya bible mkuu. Naomba nijifunze kutoka kwako
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame asema atapunguza safari za nje kwa watumishi wa umma, amuunga mkono Magufuli

    Upo kinyume na mtizamo wake! Yeye kasema atamuiga Magufuli
Back
Top Bottom