mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha Watanzania kuwa wao Kwa kucheza mpira Na Magazeti ni hatari sana kuliko kucheza uwanjani.Ukisoma magazeti ya Leo utaamini kuwa timu yacGhana itafungwa magoli mengi sana kumbe ni kinyume chake.Yanga , mpiraa ni uwanjani acheni kucheza magazetini