Recent content by kupe

  1. kupe

    Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

    Acha uongo kwa Tanzania hasa ukiondoa visiwani Zanzibar ....asilimia kubwa ya watu ukristu au uislamu jina ...wengi wanaabudu dini zao.za asili...ukristo na uislamu ni.kama utambulisho tu. so hakuna kwenye uchungu na dini Kihivyo hadi ambague mtu. ukiona hivyo ujue imetengenezwa
  2. kupe

    #COVID19 Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Unapiga simu katika muda sahihi kuulizia Majibu yako. Yaani kuulizia huduma ambayo umeilipia. Customer anakujibu rahisi tu kuwa Majibu leo yamechelewa na hapo hakuna lugha ya kuomba msamaha yaani samahani yaani utadhani wewe mteja ni omba omba. . Unamuuliza sasa nitapata Majibu saa ngapi maana...
  3. kupe

    #COVID19 Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Wenzako wote wameelewa Sent from my SM-A605G using JamiiForums mobile app
  4. kupe

    #COVID19 Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  5. kupe

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Huu uzi watapigwa watu
  6. kupe

    Viongozi na wanasiasa waache kujipa majina yao katika mitaa, Shule au Hospital

    Nianze Kwa haraka haraka kuna daraja la Mfugale. Soko la Ndugai.. Shule ya Jokate huko kisarawe.. Shule ya Juma Homera huko Tunduru ... Hospital ya.... Mtaa wa.... Na wengineo wengi... inakuwaje wanajipa haya majina au huyo anayewapa anawapa kwa kigezo gani. Maana mfano Ole Sabaya angejipa mtaa...
  7. kupe

    LATRA iruhusu magari binafsi yatoe huduma za usafiri Dar kuepuka misongamano

    Au wanataka mpaka Rais aseme. Hivi kuna faida gani kuvaa barakoa mjini au maofisini halafu unapanda mwendokasi au daladala zilizojaa abiria bila kuwa na hewa safi. Mamlaka husika kwanini wasiruhusu vibali vya muda kwa gari binafsi kubeba abiria kama daladala kuepusha Msongamano wa watu kwenye...
  8. kupe

    Nauza Chumba + Vitu vyake Mwenge Mpakani

    Kuna dalili ya mtu kupelekwa kwa mwenye nyumba fake na kupigwa
  9. kupe

    Nauza Chumba + Vitu vyake Mwenge Mpakani

    Anataka kupigwa mtu hapa. Haya mtatuletea majibu baadae. Ila hapo hakuna cha chumba wala kodi. Mtu ataliwa hela ya kodi. Kabla ya kupanga hakikisheni mna jua mmiliki halali wa hiyo nyumba. Msiie mkaletewa mmiliki fake. Angalizo. Kwa jinsi wanafunzi wanavyo hangaika na hostel au vyumba vya...
  10. kupe

    Mheshimiwa Rais Tumbua hii LATRA.

    Abiria wamejazana ubungo. Magari binafsi yapo tayari ubungo kupata vibali vya muda kama. Miaka yote ila wao LATRA wanasema hawana vidhibiti mwendo. Kifupi hawa watu hawakujipanga wakati inajulikana miaka yote issue ya December na shida ya usafiri. Lakini wao wako na magari yao binafsi kukamata...
  11. kupe

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Ngoja nianze Mombasa hataki kuitwa kenya yaani anataka ajitenge kabisa na kenya. Wenyewe wa nakwambia pwani si kenya..... Naendelea. Kenya imefukuzwa Somalia na wasomali wameweka vikosi vya jeshi mpakani. Kenya ina ugomvi na uganda wanagombea visiwa na sasa hivi wanagombea biashara ya maziwa...
  12. kupe

    TANAPA: Picha ya Ol Doinyo Lengai, ni moja ya picha 15 bora za Kimataifa 2020

    Sijapenda hilo jina la Gregory. Wekeni jina la mababu maarufu wa huko
  13. kupe

    Rais wa wanyonge iangalie Latra

    Hivi hawa Latra kwanini wanakataa kutoa vibali vya muda kusafirisha abiria kwa ma. Bus yaliyokuwa yanasafirisha wanafunzi ikiwa shule zimefungwa . Kuna tatizo gani. Maana kwanza serikali utapata hela halal kwa watakaoomba hivyo vibali. Pia itaondoa usumbufu wa abiria hasa mida ya asubuhi na...
  14. kupe

    Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

    Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman. Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa hiyo haitamuathiri au kumuumiza muolewa au muolewaji. ==== Saudi Arabia on Monday issued a de...
  15. kupe

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    RiP Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom