LATRA iruhusu magari binafsi yatoe huduma za usafiri Dar kuepuka misongamano

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Au wanataka mpaka Rais aseme. Hivi kuna faida gani kuvaa barakoa mjini au maofisini halafu unapanda mwendokasi au daladala zilizojaa abiria bila kuwa na hewa safi.

Mamlaka husika kwanini wasiruhusu vibali vya muda kwa gari binafsi kubeba abiria kama daladala kuepusha Msongamano wa watu kwenye magari.

Wao wanaona deal tu kukataa kutoa vibali kwa gari binafsi na kuzivizia zikipakia abiria na kuchukua rushwa. Tafadhali Rais, Waziri Mkuu iangalieni hii Latra.

Hasa katika kipindi hiki cha magonjwa. Asanteni
 
Kwani kuna ulazima gani wa kupanda daladala si ununue baiskeli. Tatizo watu tuna penda hadi mambo ya afya zetu tusikie serikali inatoa kauli. Ukisubiri kauli ya serikali utakaa sana, jiongeze bwana.
 
Vipi kuhusu kujifukiza na kutumia NIMRICAF?

Ongezea na maombi ya siku 3 hapo.

Yaonekana yote yame prove futile.

Au nasema uongo ndugu zangu
Na mapato halali ya serikali watayakusanywaje?
Tanayoitwa makusanyo yamekuwa muhimu sana kwa serikali hii bila kujali maisha ya watu.

Kipaumbele si maisha ya watu bali kodi:

IMG_20210214_214251_251.jpg
 
Back
Top Bottom